Turner Anaamini Balogun Atakuwa ‘nyongeza nzuri’ Ndani ya USMNT
Folarin Balogun angekuwa “nyongeza kubwa” kwa timu ya Marekani, lakini Matt Turner wa Arsenal anataka tu mshambuliaji huyo afanye mabadiliko ikiwa yanatoka moyoni. Mshambuliaji wa Arsenal Balogun amefanya vyema …
Ronaldo Adai kuwa Ligi ya Saudia Inaweza kuwa Mojawapo ya Ligi Bora Zaidi Duniani
Cristiano Ronaldo ana imani kuwa Ligi ya Saudia Pro League inaweza kuwa mojawapo ya mashindano bora zaidi duniani katika miaka ijayo. Nahodha huyo wa Ureno alijiunga na Al Nassr …
Simba SC Watoa Wanne Timu ya Wiki CAF
Klabu ya Simba imeendelea kuonesha ukubwa wake na aina ya wachezaji ilionao, kwa kuingiza mara mbili wachezaji wanne kwenye kikosi cha wiki cha michuano ya klabu bingwa Afrika CAFCL. Odds …
Southgate: Kukatishwa Tamaa kwa Kane Kwenye Kombe la Dunia Kupo Nyuma Yake
Kocha mkuu wa Uingereza Gareth Southgate anaamini kuwa Harry Kane masikitiko yake ya Kombe la Dunia yapo nyuma yake. Nahodha huyo wa Three Lions alikosa mkwaju wa penalti katika …
Nacho: Hakuna Sehemu Nzuri Zaidi ya Real Madrid
Beki wa klabu ya Real Madrid raia wa kimataifa wa Hispania Nacho Fernandez ameweka wazi hana shaka juu ya mkataba wake ndani ya klabu hiyo na kusema haoni sehemu bora …
Simba Queens Yatoka Sare na Yanga Queens
Vinara wa ligi kuu ya wanawake Tanzania klabu ya Simba Queens imetoka sare na klabu ya soka ya wanawake ya Yanga Queens kwa mabao moja kwa moja katika mchezo uliopigwa …
Chama Ashinda Goli Bora la Wiki CAF
Kiungo wa klabu ya Simba Clatous Chota Chama amefanikiwa kushinda kinyang’anyiro cha goli bora la wiki katika michuano ya ligi ya mabingwa Afrika katika mzunguko wa tano wa michuano hiyo. …
Weghorst Amshukuru Ten Hag
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Wout Weghorst amemshukuru kocha wa klabu ya hiyo Erik Ten Hag baada ya kupata nafasi mara kwa mara kwenye kikosi cha Manchester United tangu …
Scaloni: Messi Mwenyewe ndo Ataamua Hatma Yake Argentina
Kocha wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Scaloni amesema kua nahodha wa timu hiyo Lionel Messi ndio ataamua hatma yake ndani ya timu hiyo kama anaendelea kuichezea timu hiyo …
Rabiot Hajajua Hatma Yake Juventus
Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa Adrien Rabiot mpaka sasa hajajua hatma yake ndani ya klabu ya Juventus kwani mkataba wa kiungo huyo unamalizika mwisho wa msimu huu. Rabiot ambaye alikua …

