Simba SC Watoa Wanne Timu ya Wiki CAF

Klabu ya Simba imeendelea kuonesha ukubwa wake na aina ya wachezaji ilionao, kwa kuingiza mara mbili wachezaji wanne kwenye kikosi cha wiki cha michuano ya klabu bingwa Afrika CAFCL. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

SIMBA

Wachezaji hao waliojumuishwa kwenye kikosi hicho ni beki wa kulia Shomari Kapombe, Kiungo ni Sadio Kanoute na Clatous Chama na mshambuliaji ni Jean Baleke.

Ikumbukwe kuwa pia kwenye mchezaji bora wa hatua ya mechi za mzunguko wa 5, Simba ilitoa majina mawili nayo ni Sadio Kanoute ambaye alifunga mabao 2 kwenye ushindi wa bao 7-0 dhidi ya Horoya. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

 

SIMBA

Pia Clatous Chama ambaye alishinda kuwa mchezaji bora wa mechi za mzunguko wa 4 na mara hii aliingia kwenye kinyang’anyiro hicho lakini alizidiwa kura na mchezaji wa Al-Ahly Mahmoud Kahraba.

Hata hivyo kwa upande wa watani zao Yanga na wao wamefanikiwa kutuingiza jina moja la mchezaji wao kipenzi cha Wananchi Fiston Mayele, ambaye alishindanishwa kwenye kipengele cha goli bora la wiki alilofunga kwenye mechi dhidi ya US Monastir. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

 

mayele-yanga

Hata hivyo mpaka sasa tayari Simba imefuzu hatua ya robo fainali kabla ya mchezo wa mwisho dhidi ya Raja Casablanca. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Acha ujumbe