Ancelotti Amesema Kuwa Madrid Ilistahili Ushindi
Carlo Ancelotti amesisitiza kuwa Real Madrid ilistahili kuishinda Barcelona huku kocha wa Los Blancos akihoji uamuzi wa VAR wa kukataa bao la Marco Asensio katika mechi ya jana waliyopoteza 2-1. …
Xabi Ana Furaha na Kujivunia Kama Kocha wa Leverkusen Baada ya Kuitandika Bayern
Xabi Alonso alisema ilikuwa ni furaha “ya ajabu” kuwashinda Bayern Munich huku bosi wa Bayer Leverkusen akiimarisha heshima yake na ushindi wa hapo jana. Kiungo wa kati wa zamani …
Potter Bado Ana Muda wa Kumfanya Kante Awe Fiti
Graham Potter anafurahia kufanya kazi na N’Golo Kante wakati wa mapumziko ya kimataifa huku nyota huyo wa Chelsea akipambana ili kurejesha utimamu wake kamili. Akiwa hajashirikishwa tangu alipoumia msuli …
Xavi Aipigia Saluti Barca kwa Kuicharaza Real Madrid Kwenye El Clasico
Kocha mkuu wa Barcelona Xavi Hernandez ameelezea ushindi wa Barcelona wa 2-1 dhidi ya wapinzani wao wa Clasico Real Madrid kuwa ni “ushindi muhimu sana kwao” huku timu yake ikiunguruma …
Inzaghi Akasirika Baada ya VAR Kuamua Ushindi Wenye Utata
Kocha mkuu wa Inter Simone Inzaghi anahisi kuwa timu yake walionyesha “kutokuwa na heshima” baada ya ukaguzi wa VAR kuamua kuruhusu ushindi wa utata wa Filip Kostic katika kichapo cha …
Tomiyasu Anaweza Asirudi Msimu Huu Lakini Arteta Ana Matumaini Makubwa Juu ya Saliba
Kocha mkuu wa Arsenal Mikel Arteta hana uhakika kama Takehiro Tomiyasu atarejea kutoka kwa jeraha msimu huu, ingawa ana matumaini The Gunners watapokea habari chanya zaidi kuhusu mlinzi mwenza William …
Yanga Yatinga Robo Fainali Kibabe na Kuongoza Kundi D
Klabu ya Yanga imetinga hatua ya robo fainali hapo jana kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho baada ya kuipasua US Monastir kwa mabao 2-0 na kuongoza kundi D kwa tofauti …
Haller Afurahia Kurejea Uwanjani na Kupachika Mabao
Sebastien Haller anasema kurejea uwanjani na kuifungia Borussia Dortmund mabao “yote ni bonasi” baada ya kupona saratani. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ivory Coast alifunga mabao mawili katika ushindi …
Pioli: “Milan Walianza Vibaya na Kumaliza Vibaya Zaidi”
Kocha mkuu wa AC Milan Stefano Pioli anasema Milan watafanya kile kinachohitajika ili kugundua upya kiwango chao, lakini alikiri timu yake “ilianza vibaya na kumalizika vibaya zaidi” walipochapwa 3-1 na …
Guardiola Ametania Kuwa Kumtoa Haaland Ilikuwa Kuhifadhi Rekodi ya Messi
Pep Guardiola alitania kwamba alimtoa Erling Haaland dhidi ya Burnley ili kuhifadhi rekodi ya Lionel Messi. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Norway alifunga hat-trick yake ya sita msimu huu …

