Mesut Ozil Atangaza Kustaafu Soka
Kiungo wa zamani wa vilabu vya Schalke 04, Weder Bremen, Real Madrid, na Arsenal Mesut Ozil ametangaza kustaafu soka la ushindani mapema leo baada ya kutumikia soka kwa kipindi kirefu …
Ederson: Ana Imani Ancelotti Ataifundisha Brazil
Golikipa wa klabu ya Manchester City Ederson Moraes ameonesha ana imani kubwa kua kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti atakinoa kikosi cha timu ya taifa ya Brazil siku …
TFF Yazipia Saluti Simba na Yanga Kimataifa
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania TFF Wilfried Kidao amezipongeza vilabu vya Simba SC na Yanga SC baada ya kufuzu hatua ya Robo Fainali michuano ya CAF akisema hiyo …
Ibrahimovic Alihitaji Operesheni Tatu ili Aendelee Kucheza Mpira
Mshambuliaji wa klabu ya Ac Milan Zlatan Ibrahimovic amesema alihitaji kufanyiwa operesheni tatu za goti msimu uliomalizika ili kuweza kuokoa maisha yake ya soka na mpaka sasa anaendelea kucheza soka. …
Rooney Kuifundisha MLS All-Star
Gwiji wa zamani wa klabu ya Manchester United Wayne Rooney anatarajwa kuifundisha timu ya mastaa wanaocheza ligi kuu nchini Marekani katika mchezo dhidi ya klabu ya Arsenal unaotarajiwa kupigwa mwezi …
Tchouameni Hajakata Tamaa
Kiungo wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Aurelien Tchouameni amekua akipitia kipindi kigumu kwenye klabu ya Real Madrid lakini inaelezwa hajakata tamaa na ataendelea kupambana …
Alonso Kwenye Rada za Real Madrid
Kocha wa klabu ya Bayern Leverkusen Xabi Alonso ameingia kwenye rada za klabu ya Real Madrid na kutajwa kama mrithi wa kocha wasasa wa klabu hiyo kocha Carlo Ancelotti ambaye …
Sampaoli Akalia Kuti Kavu Sevilla
Aliyekua kocha wa klabu ya Sevilla George Sampaoli ametimuliwa ndani ya klabu hiyo baada ya mabosi wa klabu hiyo kutoridhishwa na mwenendo wa kocha huyo ndani ya timu hiyo. Kocha …
Mbappe Nahodha Mpya wa Ufaransa
Kylian Mbappe atakuwa nahodha mpya wa Ufaransa baada ya kupata bao kutoka kwa Didier Deschamps. Mshambuliaji huyo wa Paris Saint-Germain alikuwa mgombea bora kuchukua nafasi ya Hugo Lloris, ambaye …
Sevilla Yamtimua Sampaoli Baada ya Kuhudumu kwa Miezi 5 Pekee
Jorge Sampaoli ametimuliwa Sevilla baada ya mwenendo mbaya wa kiwango chake na kuwaacha pointi mbili tu juu ya eneo la kushushwa daraja kwenye LaLiga. Kichapo cha mabao 2-0 kutoka …

