Flick: “Fullkrug Anaweza Kuivuta Ujerumani Pamoja”
Kocha wa Ujerumani Hansi Flick alimsifu Niclas Fullkrug kwa kuwa na uwezo wa “kuvuta timu pamoja” baada ya mshambuliaji huyo kufunga mabao mawili dhidi ya Peru. Mabao mawili ya …
Martinez Amuonya Tuchel Juu ya Uteuzi wa Barry
Roberto Martinez amemwambia Thomas Tuchel kwamba Anthony Barry atasalia kuwa sehemu ya wakufunzi wa Ureno hata kama aliondoka Chelsea na kwenda Bayern Munich. Tuchel alifichua wakati wa kutambulishwa jana …
Ibrahimovic: “Conte Analazimishwa Kulipwa na Spurs kwa Kuwa Yeye Mwenyewe”
Zlatan Ibrahimovic anaamini Antonio Conte analazimishwa kulipwa na Tottenham kwa “kuwa yeye mwenyewe”. Conte anatarajiwa kutimuliwa katika siku zijazo kufuatia hasira yake baada ya Spurs kuruhusu uongozi wa mabao …
Tanzania Yaifunga Uganda
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars imefanikiwa kuifunga timu ya taifa ya Uganda The Cranes bao moja kwa bila katika mchezo wa kutafuta tikiti ya michuano ya matifa barani …
Tuchel Kuanza Kazi Jumatatu
Kocha wa zamani wa klabu ya Chelsea na PSG Thomas Tuchel anatarajiwa kuanza majukumu yake ndani ya klabu ya Bayern Munich baada ya kusaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo masaa …
Spalletti Bado Yupo Sana Napoli
Rais wa klabu ya Napoli Auriello de Laurentiis amesema kocha wa klabu hiyo raia wa kimataifa wa Italia Luciano Spalletti hawezi kuondoka ndani ya timu hiyo mwishoni mwa msimu huu. …
Cancelo Ashtushwa na Habari za Nagelsmann Huku Bayern Wakimteua Tuchel
Joao Cancelo ameshtuka kusikia Bayern Munich wameripotiwa kumfukuza Julian Nagelsmann lakini akamwomba kocha wake mpya anayetarajiwa Thomas Tuchel kumsaidia kushinda Ligi ya Mabingwa. Ripoti ziliibuka hapo jana zikipendekeza Bayern …
Kane Avunja Rekodi ya Kuwa Mfungaji Bora wa Muda Wote wa Uingereza
Harry Kane amekua mfungaji bora wa muda wote wa Uingereza huku kikosi cha Gareth Southgate kikiweka wasiwasi wa Kombe la Dunia nyuma yao na kuanza kufuzu kwa michuano ya Europa …
Messi Amefunga Bao la 800 Baada ya Argentina Kurejea Uwanjani
Lionel Messi afikisha bao la 800 kwa mkwaju wa faulo na kuiwezesha Argentina kushinda 2-0 katika mechi ya kirafiki dhidi ya Panama siku ya jana. Mabingwa hao watetezi wa …
Tanzania Kukipiga Dhidi ya Uganda Hii Leo
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itashuka dimbani hii leo kumenyana dhidi ya Uganda kwenye michuano ya kuwania kufuzu Afcon huku mechi hiyo ikitarajiwa kupiga majira ya saa 10:00 …

