Madrid Wanasubiri kwa Hamu Uamuzi wa Mkataba wa Kane
Daily News

Klabu ya Real Madrid wanafuatilia hali ya mkataba wa Harry Kane katika klabu ya Tottenham na wanaweza kumnunua nahodha huyo wa Uingereza ikiwa hatajitolea kusaini mkataba mpya.   Kane mwenye …

Soma zaidi
Ten Hag Awavutia Mabosi Wote Wanaoiwania Klabu Hiyo
Daily News

Kocha wa Manchester United Erik Ten Hag inaelezwa amewavutia mabosi wote wanaoitaka klabu hiyo kutokana na mwenendo wake ndani ya klabu hiyo tangu aichukue tiimu hiyo mwaka jana mwezi Juni. …

Soma zaidi
Al-Ahly Dua Zote kwa Mamelodi
Daily News

Klabu ya Al-Ahly kutoka nchini Misri leo dua zake zote zitakua zinaelekea nchini Sudani ambapo kuna mchezo kati ya Al-Hilal dhidi ya Mamelodi Sundowns ya kutoka nchini Afrika ya Kusini. …

Soma zaidi
Laporta Aapa Barcelona ‘itashambulia’ Huku Akitoa Madai ya Kula Njama
La Liga

Rais wa Barcelona Joan Laporta anaamini kuwa njama ndio chanzo cha madai ambayo klabu hiyo inakabiliana nayo kuhusu malipo kwa kampuni inayomilikiwa na mwamuzi mkuu wa zamani.   Malalamiko ya …

Soma zaidi
Walker Hatashtakiwa kwa Madai Yaliyokuwa Yanayomkabili
Daily News

Mlinzi wa Manchester City na Uingereza Kyle Walker hatakabiliwa na shtaka la jinai kwa madai ambayo yalikuwa yakimkabili siku chache zilizopita.   Cheshire Constabulary alifungua uchunguzi baada ya Walker kuonyeshwa …

Soma zaidi
Baba Yake Messi Akashifu ‘uongo’ Kuhusu Mustakabali wa Nyota wa PSG
Ligue 1

Baba Yake Lionel Messi, Jorge amedai kuwa “habari za uwongo” zinaenezwa kuhusu mustakabali wa nyota huyo katika klabu ya Paris Saint-Germain.   Mchezaji wa Kimataifa wa Argentina Messi anatarajiwa kumalizia …

Soma zaidi
Kompany Amtaka Pep Kukataa Kumhusisha na Kazi City
FA Cup

Kocha wa Burnley Vincent Kompany amemtaka Pep Guardiola kuacha kuzungumza naye kama kocha wa baadaye wa Manchester City wakati bado yuko katika hatua za awali za kazi yake ya ukocha. …

Soma zaidi
Isak Aipatia Newcastle Pointi 3 Na Kuipa Matumaini ya Kusalia Nafasi 4 za Juu
Daily News

Alexander Isak anaamini Newcastle inaweza kupaa baada ya mapumziko ya Kimataifa kufuatia mshindi wake wa dakika za mwisho katika mchezo wa Nottingham Forest hapo jana.   Mshambuliaji huyo wa Sweden …

Soma zaidi
Simba Kujiuliza Mbele ya Horoya Hii Leo
SOKA LA BONGO

Klabu ya Simba inatarajia kushuka dimbani leo kwa Mkapa kukiwasha dhidi ya Horoya kwenye mchezo wao wa ligi ya Mabingwa barani Afrika huku kila timu ikihitaji kufuzu hatua ya robo …

Soma zaidi
Kocha Ujerumani Awaacha Mastaa wake
Daily News

Kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani Hans Flick ameita kikosi cha timu ya taifa ya Ujerumani ambacho kitashiriki michezo kadhaa ya kirafiki ambayo timu hiyo itacheza huku akiwaacha mastaa …

Soma zaidi
1 2 3 559 560 561 562 563 564 565 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.