Fofana Amlinganisha Mudryk na Mbappe
Beki wa Chelsea Wesley Fofana amesisitiza kuwa mchezaji mwenzake Mykhailo Mudryk ana kasi zaidi kuliko Kylian Mbappe. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na …
Verratti Anafikiria Kuondoka PSG Huku Juventus Wakimfikiria
Marco Verratti anaripotiwa kufikiria kuondoka Paris Saint-Germain baada ya zaidi ya muongo mmoja katika msimu wa joto na Juventus inafuatilia kwa karibu hali hiyo. Mvutano umeibuka katika mji mkuu …
Arsenal Yamuongeza Mkataba Xhaka| Kusalia Hadi 2025
Arsenal wanajiandaa kumpatia mkataba mpya mchezaji wao Granit Xhaka na kumuweka kiungo huyo katika klabu hiyo hadi 2025. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator …
Martinez Afurahia Shinikizo la Manchester United Kabla ya Safari ya Betis
Lisandro Martinez anafurahia shinikizo la nafasi yake katika klabu ya Manchester United, huku mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina akitaka kukidhi mahitaji ya klabu ya kupata mafanikio. Beki huyo …
Busquets Kusalia Barcelona
Kiungo wa klabu ya Barcelona Sergio Busquets anatarajiwa kubaki ndani ya klabu hiyo kutokana na mazungumzo ambayo yanaendelea baina ya kiungo huyo na klabu yake ya Barcelona. Taarifa zinaeleza kua …
Gianni Infantino Achaguliwa Tena Kuiongoza FIFA Muhula wa Pili
Gianni Infantino amechaguliwa tena kwa muhula mwingine kuwa rais wa FIFA baada ya kupita bila kupingwa. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- …
Manchester United Mbioni Kununuliwa na Waarabu
Klabu ya Manchester United inaelezwa ipo mbioni kununuliwa na waarabu kutoka nchini Qatar wakiongozwa na Skeikh Jassim Emir Al Thani ambaye ndio ataongoza ununuzi wa klabu akiwa kama mwekezaji mkuu. …
Van Dijk Akubali Kuwa Uharibifu Ulifanyika Liverpool
Virgil van Dijk amekubali kuwa uharibifu ulifanyika huko Liverpool huku kutolewa kwa Wekundu hao katika Ligi ya Mabingwa kulithibitishwa katika kichapo cha 1-0 kutoka kwa Real Madrid jana. Licha …
Manchester United Yamvizia Kolo Muani
Klabu ya Manchester United ipo kwenye mpango wa kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa Kolo Muani anaekupiga klabu ya Eintrach Frankfurt inayoshiriki ligi kuu nchini Ujerumani maarufu kama Bundesliga. Klabu …
Napoli Yamuongeza Mkataba Lobotka Hadi 2027 na Chaguo la Mwaka Zaidi
Klabu ya Napoli imemuongezea mkataba Stanislav Lobotka hadi Juni 2027 huku klabu hiyo ikiwa na chaguo kwa mwaka mmoja zaidi baada ya hapo. Mchezaji huyo wa Kimataifa wa Slovakia …

