Cadric Kaze Ateuliwa Kuinoa Stars AFCON
Kocha wa timu ya taifa Tanzania Taifa Stars, Adel Mrouche amepewa nafasi ya kuchagua wataalamu 4 atakao ambatana nao kwenye timu ya taifa kama sehemu ya benchi lake la ufundi, …
Chama Aapa Kuimaliza Horoya| Akumbushia Mechi dhidi ya AS Vita, Nkana
Kiungo mshambuliaji wa Simba SC Clatous Chama amekuwa shujaa kwa muda mrefu sana tangu ajiunge na mnyama msimu wa 2017 mpaka hivi, amefanya yasiyowezekana yakawezekana mbele ya mashabiki katika dimba …
Beatrice na Rahma Waendelea na Mazoezi Mepesi
Mabondia wanawake wanaoiwakilisha Tanzania kwa mara ya kwanza katika mashindano ya 13 ya Ubingwa wa Dunia (IBA) wameendelea na mazoezi mepesi jana jioni kujiweka sawa kwa mapambano yao. Leo …
US Monastir Yatua Dar es salaam Tayari kwa Kuwavaa Yanga
Klabu ya US Monastir yatua jijini Dar es salaam hii leo kwaajili ya mchezo wao wa siku ya Jumapili wa Kombe la Shirkisho dhidi ya Yanga. Mchezo huo utapigwa …
Horoya Yatua Dar es salaam Kwaajili ya Kukipiga Dhidi ya Mnyama Kesho
Timu ya Horoya imetua hii leo jijini Dar es salaam kwaajili ya mchezo wao wa kesho dhidi ya Simba SC unaotarajiwa kupigwa majira ya saa 1:00 usiku katika Dimba la …
Manchester United Kumaliza Kazi Leo?
Klabu ya Manchester United itakua ugenini leo kukabiliana na klabu ya Real Betis katika mchezo wa marudiano kombe la Europe league hatua ya 16 bora ambapo mchezo wa kwanza uliopigwa …
Sterling Aaachwa Timu ya Taifa ya Uingereza
Winga klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Uingereza Raheem Sterling ameachwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza kilichoitwa na kocha wa timu hiyo Gareth Southgate kuelekea …
Ivan Toney Aitwa Uingereza
Mshambuliaji wa klabu ya Berntford Ivan Toney ameitwa kikosi cha timu ya tifa ya Uingereza ambacho kitakwenda kucheza michezo ya kuwania kufuzu michuano ya Euro ambayo inatarajiwa kufanyika mwakani. Mchezaji …
Spalletti Ampinga Guardiola
Kocha wa klabu Napoli vinara wa ligi kuu ya Italia Luciano Spalletti amepingana na kauli ya kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola kua klabu ya Napoli ndio klabu …
Stefan Bajcetic Hatacheza Tena Msimu Huu
Kiungo wa kati wa Liverpool Stefan Bajcetic amefichua kuwa hatacheza tena msimu huu. Mhispania huyo, 18, alikaa nje kwa kichapo cha 1-0 usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu huku Wekundu …

