Inzaghi Apongeza Umoja wa Timu Yake
Kocha wa klabu ya Inter Milan Simeone Inzaghi amepomgeza umoja wa timu yake baada ya kupata matokeo ya ushindi dhidi ya klabu ya Fc Porto katika mchezo wa hatua ya …
Tottenham Wapanga Kumpa Mkataba Mpya Kane
Klabu ya Tottenham Hotspurs imepanga kumpa mkataba mpya mshambuliaji wake nahodha wa timu ya taifa ya Uingereza Harry Kane wakati huu mkataba mpya wa mshambuliaji ukielekea ukingoni. Klabu ya Tottenham …
Chama Mchezaji Bora wa Wiki Caf
Kiungo wa klabu ya Simba Clatous Chama amefanikiwa kuchaguliwa kua mchezaji bora wa wiki wa michuano ya ligi ya mabingwa Afrika baada ya raundi ya nne ya michuano hiyo kumalizika. …
Kvaratskhelia ni George Best Mpya
Gwiji wa zamani wa soka la Italia Christian Vieri amesema kua nyota wa klabu ya Napoli na timu ya taifa ya Georgia Khvicha Kvaratskhelia anafanana kiuchezaji na gwiji wa zamani …
Haaland: Nilitaka Kufunga Zaidi
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester City Earling Haaland amesema alitaka kufunga mabao zaidi ya matano katika mchezo wa jana dhidi ya klabu ya Rb Leipzig lakini hakua na namna zaidi …
Guardiola Aivulia Kofia Napoli
Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola ameonekana kuikubali klabu ya Napoli na kusema ni klabu bora kwasasa barani ulaya kutokana na aina yao ya uchezaji, Ikiwa inakaribiana na …
Liverpool Kurudia ya Barcelona kwa Madrid Leo?
Klabu ya Liverpool itashuka dimbani leo kumenyana na klabu ya Real Madrid katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani ulaya hatua ya 16 bora ili kuhakikisha wanaweza kupindua matokeo baada …
Haaland Apiga Tano Akivunja Rekodi ya Messi
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester City Earling Haaland amefanikiwa kufunga mabao matano katika mchezo wa ligi ya Mabingwa ulaya usiku wa jana dhidi ya Rb Leipzig na kufanikiwa kufikia rekodi …
Erling Haaland Ampiku Messi| Aweka Rekodi UCL
Erling Halaand anzidi kuweka rekodi tu barani Ulaya, baada ya jana kuwafunga RB Leipzig peke yake mabao 5 ndani ya dakika 60 zilitosha kijana huyo wa Pep Guardiola kuandika rekodi …
De Bruyne Haoni Shida Kuhusu Onyesho la Haaland Ndani ya Man City
Kevin de Bruyne alipuuza pendekezo lolote la masuala ndani ya timu na kushuka kwa kiwango kwa mshambuliaji nyota wa Manchester City Erling Haaland. Haaland amekuwa katika hali ya kuvutia …

