El-Shenawy: Al-ahly Tumeonewa
Nahodha wa Al-ahly El-Shenawy Alalamikia Kucheza Mchana, Mamelod Yaendeleza Ubabe. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe. The Giants of …
Southampton Wachukizwa na Unyanyasaji wa Kibaguzi Aliofanyiwa Walker-Peters
Southampton wamesema “wamechukizwa na kusikitishwa” na unyanyasaji wa kibaguzi unaomlenga Kyle Walker-Peters kufuatia sare ya bila mabao dhidi ya Manchester United hapo jana. Beki huyo wa kulia alipokea majibu …
Palhinha Agombaniwa na Vilabu Vitano Vya Uingereza
Kiungo wa kati wa Fulham Joao Palhinha anafuatiliwa na klabu tano za ligi kuu ya Uingereza kutokana na kiwango chake ambacho amekionyesha. Palhinha mwenye miaka 27, alijiunga na Cottagers …
Pep: “Ukame wa Ubingwa Kwa Arsenal Unawasaidia Kupata Mabao ya Dakika za Mwisho”
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anasema kusubiri kwa muda mrefu kwa Arsenal kutwaa taji la Ligi ya Uingereza kunawasaidia kufunga mabao ya dakika za lala salama na kusisitiza kuwa …
Okra na Sawadogo Kuwakosa Horoya Machi 18
Afisa Habari wa klabu Simba Ahmed Ally amesema kuwa wachezaji wao Augustine Okra na Ismail Sawadogo wataukosa mchezo wao watakaocheza dhidi ya Horoya siku ya Jumamosi tarehe 18. Okra …
Allegri Afichua Kuwa Pogba Aliumia Akipiga “Free Kick” Mazoezini
Massimiliano Allegri amesema kuwa kukosekana kwa Paul Pogba kwenye kikosi cha Juventus siku ya jana kulikuja baada ya kuhisi jeraha wakati wa kupiga mipira ya free kick akiwa mazoezini. …
Havertz Amekiri Kuwa Kiwango Chao Duni Kilikuwa Kikileta Shida Nyumbani
Mshambuliji wa Chelsea Kai Havertz anafurahia kiwango kizuri kwa mara nyingine tena, lakini alifichua kwamba matatizo ya kiakili msimu huu yamemkumba yeye na wale wanaomzunguka. Mchezaji huyo wa Kimataifa …
Azam FC Ugenini Leo Dhidi ya Ihefu FC
Klabu ya Azam FC leo itakuwa ugenini kucheza dhidi ya Ihefu katika mwendelezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara ambapo mchezo huo utapigwa katika uwanja wa Highland Estate Mbarali …
Dodoma Jiji Yatwaa Pointi 3 Nyumbani
Klabu ya Dodoma Jiji imepata ushindi wake wa 8 kwenye ligi hapo jana baada ya kumtwanga Polisi Tanzania mabao 2-1 kwenye uwanja wa Jamhuri Dodoma. Mchezo huo uliopigwa majira …
Yanga Yazidi Kujikita Kileleni Baada ya Kuichapa Geita Gold
Klabu ya Yanga ambayo ipo chini ya kocha mkuu Nasredine Nabi imezidi kujiweka kileleni kwenye msimamo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kuichapa Geita Gold mabao 3-1 …

