Kivuli Cha Conte Kinatanda Juu ya Inzaghi
Serie A

Ripoti zinaonyesha kuwa mustakabali wa Simone Inzaghi katika klabu ya Inter unaning’inia kwenye mtandao na klabu tayari imewasiliana na Antonio Conte wanapoanza kujipanga mapema.   Nerazzurri walipata kipigo kichungu cha …

Soma zaidi
Ten Hag Awataka Man Utd Kuonyesha Uthabiti Dhidi ya Southampton
Daily News

Kocha wa Manchester United Erik Ten Hag amesema kuwa lazima timu yake iendelee kuonyesha uthabiti wao msimu unapoelekea tamati.   Kipigo cha 7-0 kutoka kwa Liverpool Jumapili iliyopita kilivutia ukosoaji …

Soma zaidi
Boehly Ana Nia ya Kumleta De Jong Chelsea
Daily News

Mmiliki wa Chelsea Todd Boehly ana hamu ya kumsajili kiungo wa Barcelona Frenkie de Jong msimu huu wa joto.   Mfanyabiashara Mmarekani Boehly mwenye miaka 49, tayari ametumia zaidi ya …

Soma zaidi
Dodoma Jiji Kutimua Vumbi Dhidi ya Polisi Tanzania
SOKA LA BONGO

Mechi ya mwisho ya leo ya NBC ni kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Polisi Tanzania huku timu zote zikihitaji pointi tatu kutokana na nafasi waliyopo kwenye mismamo wa ligi. …

Soma zaidi
Coastal Union Anamkaribisha Singida Big Stars
SOKA LA BONGO

Mchezo mwingine wa Ligi kuu ya NBC ni huu hapa ambao utawakutanisha Coastal Union dhidi ya Singida Big Stars ambayo inafanya vizuri kwenye msimamo wa ligi.   Singida Big Stars …

Soma zaidi
Yanga Kukipiga Dhidi ya Geita Gold
SOKA LA BONGO

Klabu ya Yanga inatarajiwa kushuka dimbani hii leo kusaka pointi tatu dhidi ya Geita Gold ya Geita ambayo ipo nafasi ya tano kwenye msimamo wa ligi.   Mchezo huo atapigwa …

Soma zaidi
Namungo Apasuka Nyumbani Kwake
SOKA LA BONGO

Klabu ya Namungo FC imepoteza mchezo wake hapo jana wlaiokuwa wakicheza dhidi ya Tanzania Prisons kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara katika dimba la Majaliwa majira ya saa …

Soma zaidi
Vinicius: “Siwahukumu Wachezaji, Nawahukumu Waamuzi”
La Liga

Mshambuliaji wa Real Madrid, Vinicius Junior amewakosoa waamuzi wa LaLiga kwa kushindwa kutoa kadi kwa wapinzani wanaomchezea vibaya mara kwa mara.   Vinicius alilengwa na Madrid katika ushindi wa 3-1 …

Soma zaidi
Galtier Amesema Kuwa PSG Haina Matatizo ya Umoja
Ligue 1

Kocha wa Paris Saint-Germain Christophe Galtier hana wasiwasi wowote kuhusu ukosefu wa umoja katika klabu hiyo baada ya kuondolewa kwa Ligi ya Mabingwa.   PSG walirejea katika njia ya ushindi …

Soma zaidi
Belotti Afanyiwa Upasuaji wa Mkono
Serie A

Klabu ya Roma imethibitisha kuwa, Andrea Belotti amelazimika kuwa nje ya uwanja baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye mkono wake wa kulia.   Mshambuliaji Giallorossi mwenye umri wa miaka 29 ametatizika …

Soma zaidi
1 2 3 567 568 569 570 571 572 573 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.