Kane Awaka Spurs Ikiua
Mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Hotspurs Harry Kane ametakata katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya Nottingham Forest huku klabu yake ikipata alama tatu muhimu wakiwa katika dimba …
Chelsea Gari Limewaka
Klabu ya Chelsea sasa ni kama gari limewaka baada ya kupata alama tatu muhimu katika mchezo wa leo dhidi ya klabu ya Leicester City katika dimba la Kingpower kwa jumla …
Pogba Kurejea Jumapili Baada ya Adhabu
Kiungo wa klabu ya Juventus Paul Pogba yuko tayari kurejea ndani ya klabu hiyo siku ya jumapili kuitumikia klabu hiyo katika mchezo dhidi ya Sampdoria baada ya adhabu yake kumalizika. …
Mamelodi Sundowns Yatinga Robo Fainali kwa Kishindo
Klabu ya Mamelodi Sundowns kutoka nchini Afrika ya Kusini wamefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika kwa kishindo kikubwa baada ya kuifunga klabu ya Al-Ahly mabao …
Real Madrid Yaipasua Espanyol
Klabu ya Real Madrid imepata matokeo ya ushindi mapema leo katika mchezo wa ligi kuu nchini Hispania wa mabao matatu kwa moja baada ya kutoka kusuluhu dhidi ya Real Betis …
Simba Yaua Morogoro, Baleke Atakata
Klabu ya Simba imefanikiwa kupata ushindi mnono dhidi ya klabu ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa katika dimba la Manungu mkoani Morogoro. Simba walifanikiwa kupata …
Liverpool Yapigwa na Kitu Kizito
Klabu ya Liverpool imekumbana na wakati mgumu baada ya kutoka kwenye wikiendi nzuri baada ya kuifunga klabu ya Manchester United kwa mabao 7-0 katika dimba la Anfield wikiendi iliyomalizika. Liverpool …
Mahakama Yaamua Mashabiki wa Frankfurt Wanaweza Kuhudhuria Pambano la Napoli UCL
Mahakama ya Utawala ya Mkoa imekubali rufaa ya Eintracht Frankfurt na itawaruhusu mashabiki kununua tiketi kwa ajili ya mpambano ujao wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Napoli. Jumanne ya …
Barcelona Inapanga Kumchukua Firmino
Barcelona wanajiandaa kuwasajili wachezaji wawili wa Ligi kuu ya Uingereza ambao ni Roberto Firmino na Ilkay Gundogan. Mshambuliaji wa kati wa Liverpool Firmino mwenye miaka 31, ataondoka Anfield msimu …
PSG Kuwasilisha Ombi la Kuununua Uwanja wa Stade de France
Msemaji wa klabu ya Paris Saint-Germain amethibitisha kuwa timu hiyo itawasilisha ombi la kununua Uwanja wa Stade de France. Mabingwa hao wa Ligue 1 walisema watachunguza chaguzi mbadala za …

