Rashford Mchezaji Bora Mwezi Febuari Epl
Mshambualiaji wa klabu ya Manchester United Marcus Rashford amechaguliwa kua mchezaji bora wa ligi kuu ya Uingereza kwa mwezi Febuari baada ya kutwaa tuzo ya klabu wiki moja iliyopita. Marcus …
Mourinho Akataa Kuridhika na Ushindi wa Jana Dhidi ya Sociedad
Huenda Roma walishinda 2-0 dhidi ya Real Sociedad katika mchezo wao wa mkondo wa kwanza wa hatua ya 16 bora wa Ligi ya Europa lakini kocha mkuu Jose Mourinho alikataa …
De Jong Atangaza Kuwa Anataka Kuendelea Kuichezea Barcelona
Frenkie de Jong ametangaza kuwa hana nia ya kuondoka Barcelona huku akihusishwa zaidi na Manchester United. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25 alihusishwa pakubwa na kuhamia Old Trafford …
Di Maria Afichua Mazungumzo ya Mkataba na Juventus
Angel Di Maria amefichua kuwa yuko kwenye mazungumzo na Juventus kuhusu kandarasi mpya baada ya kufunga bao na kuwashinda Freiburg katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya 16 …
Sare ya 2-2 Yamkasirisha Arteta, Abainisha Udhaifu Wao
Kocha wa Arsenal Mikel Arteta amekiri kuwa timu yake inahitaji kuimarika zaidi ikiwa wanataka kusonga mbele katika Ligi ya Europa baada ya sare ya 2-2 na Sporting Lisbon. Pata Odds …
Arteta Amesema Hajafurahishwa na Safu yake ya Ulinzi
Mikel Arteta hakuficha kuchanganyikiwa kwake na uchezaji wa Arsenal katika sare ya 2-2 hapo jana dhidi ya Sporting CP, lakini uchezaji wa Fabio Vieira ulimpa matumaini kidogo. The Gunners …
Mtibwa Sugar Wataweza Kuifunga Simba?
Wakati Ligi kuu ya NBC ikiendelea kutimua vumbi kwenye viwanja mbalimbali, mechi inayosubiriwa ni Simba ambaye amewafuata Mtibwa Sugar kiwanda cha mpira wa miguu Tanzania. Odds kubwa za soka unazipata …
Mbeya City Kuwaalika Ruvu Shooting Leo
Ligi kuu ya NBC inaendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambapo Mbeya City watawaalika Ruvu Shooting katika dimba lao la Sokoine majira ya saa 10:00 jioni. Mbeya City wapo …
Hatimaye Kafunga| Weghorst Alia Hadharani Manchester
Hatimaye bhana mshambuliaji wa Manchester United Wout Weghorst alionekana kutokwa na machozi akishangilia bao lake la kwanza Old Trafford katika ushindi wao wa Ligi ya Europa dhidi ya Real Betis. …
Frenkie de Jong Asisitiza Anataka Kubaki Barcelona
Kiungo wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Uholanzi Frenkie de Jong ameendelea kusisitiza mpango wake wa kuendelea kubaki ndani ya klabu hiyo kwa muda mrefu licha ya …

