Rashford: Hatujakata Tamaa
Daily News

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester Marcus Rashford amesema kua hawajakata tamaa baada ya kupoteza mchezo wa ligi kuu ya Uingereza wikiendi iliyomalizika dhidi ya mahasimu wao klabu ya Liverpool. Marcus …

Soma zaidi
Achraf Hakimi Kucheza Leo Licha ya Tuhuma za Ubakaji
Daily News

Beki wa Paris Saint-Germain Achraf Hakimi anatarajiwa kuichezea Bayern Munich leo kwenue usiku wa mabingwa licha ya kuchunguzwa kwa tuhuma za ubakaji. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya …

Soma zaidi
Ten Hag: Bruno Atabaki kua Nahodha
Daily News

Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag amesema kua kiungo wa klabu hiyo raia wa kimataifa wa Ureno Bruno Fernandes ataendelea kusalia kama nahodha wa klabu hiyo licha …

Soma zaidi
Rashford: Napenda Kucheza na Bruno Fernandes
Daily News

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Uingereza Marcus Rashford ameweka wazi na kusema kua anafurahishwa kucheza na kiungo wa klabu hiyo Bruno Fernandes. Marcus Rashford amesema …

Soma zaidi
Pioli Aionya Milan Kutokukaa Nyuma Dhidi ya Spurs
Champions League

Kocha wa klabu ya soka ya Ac Milan Stefano Pioli amewaonya wachezaji wake kuelekea mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa ulaya hatua ya 16 bora dhidi ya Tottenham na …

Soma zaidi
Henderson Awaonya Wenzake ndani ya Liverpool
Daily News

Nahodha wa klabu ya Liverpool Jordan Henderson amewaonya wachezaji wenzaji wasijiamini kupitiliza baada ya kufanikiwa kuifunga klabu ya Manchester United kwa mabao 7-0 katika mchezo wa ligi ku ya Uingereza …

Soma zaidi
Laporte Kutimka Man City Mwisho wa Msimu
Daily News

Beki wa klabu ya Manchester City Aymeric Laporte anatarajia kutimka ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu na vilabu mbalimbali vinatajwa kutaka saini ya mchezaji huyo wa kimataifa wa …

Soma zaidi
Osimhen: “Serie A ni ya Ajabu, Kvaratskhelia Anaweza Kushinda Ballon D’or”
Serie A

Victor Osimhen anasisitiza kuwa angependa kucheza Ligi ya Uingereza siku moja lakini anaongeza kuwa maisha katika Serie A ni ‘maajabu’ na anaamini mchezaji mwenzake Kvicha Kvaratskhelia anaweza kushinda Ballon d’Or. …

Soma zaidi
Mason Mount Awindwa Zaidi na Newcastle
Daily News

Newcastle wameingia kwenye harakati za kumnasa kiungo mshambuliaji wa Chelsea Mason Mount. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet …

Soma zaidi
Ancelotti Matatani Ndani ya Real Madrid
La Liga

Kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti yupo matatani ndani ya klabu hiyo kwasasa kutokana na matokeo ambayo sio mazuri ambayo klabu hiyo imekua ikiyapata siku za karibuni. Ancelotti …

Soma zaidi
1 2 3 574 575 576 577 578 579 580 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.