Ac Milan Wanatarajia Leao, Giroud Kusaini Mkataba Mpya
Serie A

Klabu ya Ac Milan wanatarajia kuwabakiza wachezaji wake wawili Rafael Leao na mshambuliaji Olivier Giroud ambao wachezaji hao wanakaribia kumaliza mikataba mwishoni mwa msimu huu. Klabu ya Ac Milan imekua …

Soma zaidi
Dilunga Aibukia Azam Fc
SOKA LA BONGO

Kiungo wa zamani wa klabu ya Simba, Mtibwa Sugar Hassan Dilunga ameibukia ndani ya klabu ya Azam Fc baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na majeraha …

Soma zaidi
Salah Anawaza Kuvunja Rekodi ya Mabao Liverpool
Daily News

Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Mohamed Salah anawaza kuvunja rekodi ya ufungaji bora wa muda wote ndani ya klabu hiyo katika michezo ya ligi kuu ya Uingereza ili kuivunja rekodi …

Soma zaidi
Pioli: Kufungwa na Fiorentina sio Kwasababu ya Uefa
Serie A

Kocha wa klabu ya Ac Milan Stefano Pioli amekataa kuhusisha kipigi walichokipokea jana katika mchezo wa ligi kuu ya Italia dhidi ya Fiorentina na mchezo wao unaofuata wa ligi ya …

Soma zaidi
Mbappe Ampindua Cavani Ufungaji Bora wa Muda Wote PSG
Ligue 1

Mshambuliaji wa klabu ya PSG Kylian Mbappe amefanikiwa kuipita rekodi ya ufungaji bora wa muda wote wa klabu ya PSG ya nguli Edson Cavani na kuweka ya kwake baada ya …

Soma zaidi
Mbappe Analiwaza Taji la Ulaya
Ligue 1

Mshambuliaji wa klabu ya PSG na timu ya taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe amesema kua ndoto yake kubwa ni kushinda taji la ligi ya mabingwa ulaya ameyazungumza hayo baada ya …

Soma zaidi
Liverpool Kuendeleza Ubabe Anfield Dhidi ya United?
Daily News

Klabu ya Liverpool leo itashuka dimbani dhidi ya klabu ya Manchester United katika dimba la Anfield katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza kuhakikisha wanalinda rekodi yao dhidi ya mashetani …

Soma zaidi
Komando wa Arsenal Reiss Nelson Afichua Alichoambiwa na Mikel Arteta
Daily News

Mkombozi wa Arsenal Reiss Nelson amefichua kile ambacho kocha wake Mikel Arteta alimwambia kabla ya kuingia uwanjani na kufunga bao la ushindi kwenye matokeo ya 3-2 dhidi ya Bournemouth jana. …

Soma zaidi
Chelsea Hatimae Wapata Ushindi
Daily News

Klabu ya Chelsea baada ya kupitia msoto mkali hatimae wameweza kupata mattokeo ya ushindi mbele ya klabu ya Leeds United baada ya kuifunga klabu hiyo kwa bao moja kwa bila. …

Soma zaidi
Arsenal Yapiga Comeback ya Kibabe
Daily News

Klabu ya Arsenal imefanikiwa kupiga comeback ya kibabe dhidi ya klabu ya Bournamouth katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza uliopigwa katika dimba la Emirates na kushuhudia washika mitutu hao …

Soma zaidi
1 2 3 577 578 579 580 581 582 583 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.