Ancelotti Ashawishika Kurejea Madrid Itarejea Vyema Katika Mechi ya Mkondo wa Pili
Copa del Rey

Kocha mkuu wa Real Madrid, Carlo Ancelotti ana imani kuwa Real Madrid wana uwezo wa kupindua kichapo cha 1-0 cha mchezo wa mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya Copa …

Soma zaidi
Mwana FA Mgeni Rasmi Mechi ya Simba Dhidi ya Vipers
SOKA LA BONGO

Klabu ya Simba imemualika Mhe Hamis Mwinjuma ( Mwana FA) ambaye ni Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo kuwa mgeni rasmi kwenye mechi yao dhidi ya Vipers siku ya …

Soma zaidi
Simba VS Vipers Kupigwa Saa 1:00 Usiku Jumanne
SOKA LA BONGO

Mechi ya Klabu Bingwa ya marudiano kati ya Simba dhidi ya Vipers ya Uganda utapigwa majira ya saa 1:00 usiku katika Dimba la Benjamin Mkapa.   Awali mchezo huo ulitarajiwa …

Soma zaidi
Neville: Kane Anapaswa Kujiunga na United Ikiwa Anataka Kushinda Mataji
Daily News

Beki wa zamani wa United Garry Neville amesema kuwa Harry Kane anapaswa kuondoka Tottenham na kwenda Manchester United ikiwa anataka kushinda mataji katika maisha yake ya soka.   Nahodha huyo …

Soma zaidi
Feisal Aangukia Pua Tena
SOKA LA BONGO

Mchezaji wa Yanga Feisal Salum Abdallah ameangukia pua kwa kwa mara nyinge baada ya kuomba mrejeo kwa kamati ya hadhi na sheria za wachezaji (TFF) kutupilia mbali shauri lake baada …

Soma zaidi
Barcelona Majeruhu Kibao Ikiivaa Real Madrid
La Liga

Klabu ya Fc Barcelona itawakosa wachezaji wake wengi kuelekea mchezo wao dhidi ya klabu ya Real Madrid hatua ya nusu fainali ya kombe la Mflame nchini humo maarufu kama Copa …

Soma zaidi
Simba Yairarua African Sports
SOKA LA BONGO

Klabu ya Simba imefanikiwa kusonga mbele kwenye michuano ya kombe la Azam Federation baada ya kupata ushindi mnono wa mabao manne kwa bila dhidi ya klabu ya African Sports kutoka …

Soma zaidi
Real Madrid Wanamfukuzia Kvaratskhelia
La Liga

Klabu ya Real Madrid imethibitika wanamfukuzia winga hatari wa klabu ya Napoli inayoshiriki ligi kuu nchini Italia Khvicha Kvaratskhelia kwa mujibu wa wakala wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Georgia. …

Soma zaidi
Marcus Rashford Awania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Epl
Daily News

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United aliopo kwenye kiwango bora kabisa Marcus Rashford ametajwa kuwania tuzo ya mcheza bora wa mwezi Debuari ndani ya ligi kuu ya Uingereza. Marcus Rashford …

Soma zaidi
Mkuu wa LaLiga Tebas Amesikitishwa na Uchunguzi wa Polepole wa Man City
Daily News

Mkuu wa Laliga, Javier Tebas amesema kuwa uchunguzi kuhusu madai ya utovu wa fedha wa Manchester City “umechukua muda mrefu”.   Mabingwa hao watetezi wa ligi kuu ya Uingereza, wameshtakiwa …

Soma zaidi
1 2 3 580 581 582 583 584 585 586 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.