Osimhen Aelekeza Nguvu Zake Napoli Licha ya United Kumhitaji
Victor Osimhen anasisitiza kwamba mtazamo wake pekee uko kwa Napoli, lakini anaongeza kuwa kila mchezaji ana nia ya kucheza Ligi Kuu. Hadithi za kutaka kumnunua mfungaji bora huyo wa …
Ten Hag Awania Tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi Epl
Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag ameingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania tena tuzo ya kocha bora wa mwezi ndani ya ligi kuu ya Uingereza ndani ya mwezi …
Juventus Yatoa Sababu 4 Kwanini Kukatwa kwa Pointi 15 Lazima Kubatilishwe
Tuttosport imechapisha sehemu ya rufaa iliyokatwa na mawakili wa Juventus dhidi ya kukatwa kwa pointi 15, ikiangazia sababu nne kwa nini adhabu hiyo lazima ibatilishwe. Bibi Kizee wa Turin …
Mane Anaamini Liverpool Itarejea Kwenye Ubora Wake
Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool kwasasa anakipiga ndani ya klabu Bayern Munich Sadio Mane anasema anaamini kua klabu yake ya zamani ya Liverpool itarejea kwenye ubora wake. Klabu ya Liverpool …
Ten Hag: Aipongeza Man United baada ya Kupindua Meza
Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag amewapongeza wachezzaji wake baada ya matokeo dhidi ya klabu ya West Ham jana baada ya kutangulia kufungwa na kusawazisha na baadae …
Van Dijk: Tunahitaji Mashabiki Wengi Dhidi ya United
Beki mahiri wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Uholanzi Virgil Van Dijk amesema ushindi wao dhidi ya Wolves jana unatoa taswira nzuri kuelekea mchezo wao dhidi ya …
Toney Aulizia Kuhusu Uvumi wa Mashtaka Yanayomkabili
Ivan Toney amekashifu uvumi unaoendelea na kusumbua juu ya lengo la Shirikisho la Soka (FA) kufungiwa kwa madai yake ya kukiuka sheria za kamari. Mshambuliajii huyo wa Brentford ameshtakiwa …
Ten Hag Awaunga Mkono Maguire na Weghorst Kuboresha Viwango Vyao
Kocha mkuu wa United, Erick Ten Hag amewasifu Harry Maguire na Wout Weghorst huku akiwaambia kuwa waendelee kuimarisha viwango vyao baada ya kufanya vizuri hapo jana kwenye mchezo dhidi ya …
Arteta Awataka Arsenal Kutochoka Kuusaka Ubingwa
Kocha mkuu wa Arsenal Mikel Arteta amewapa changamoto wachezaji wake kuwa wagumu katika harakati zao za kuwania taji la Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kusonga mbele kwa pointi tano …
Simba Kuivaa African Sports Kesho, Robertinho Aahidi Ushindi
Klabu ya Simba kesho watashuka dimbani kukabiliana na klabu ya African Sports kutoka mkoani Tanga katika mchezo wa kombe la Azam Federation hapo kesho. Simba watashuka dimbani kumenyana na African …

