Putellas Wina Mchezaji Bora wa FIFA kwa Wanawake, Huku Wiegman Akitunukiwa Tuzo ya Kocha Bora
Alexia Putellas ametawazwa kuwa Mchezaji Bora wa FIFA kwa Wanawake huku, akiwanyima wawakilishi wa kike wa Uingereza kung’ara katika sherehe za hapo jana. Sarina Wiegman na Mary Earps hapo …
Messi Awapiku Mbappe na Benzema Kwenye Tuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA kwa Wanaume
Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain na Argentina Lionel Messi ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA kwa Wanaume kwa mara ya pili. Messi alipata ushindani kutoka kwa mchezaji mwenzake Kylian …
Messi, Scaloni na Martinez Wapata Ushindi Mnono wa Argentina Katika Tuzo za FIFA
Lionel Messi, Lionel Scaloni na Emiliano Martinez wameng’ara hapo jana kwa Argentina katika hafla ya Tuzo Bora za FIFA huko Paris. Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Messi alitawazwa kuwa mchezaji …
Weghorst: “United Bado Ina Njaa ya Mataji”
Wout Weghorst amesema Manchester United ina njaa ya kupata zaidi na inalenga mara nne baada ya kunyanyua Kombe la EFL. Mashetani Wekundu waliichapa Newcastle United 2-0 kwenye uwanja wa …
Lewandowski Kuikosa El Clasico Kutokana na Jeraha la Misuli ya Paja
Robert Lewandowski ataikosa mechi ya nusu fainali ya kwanza ya Copa de Rey ya Barcelona dhidi ya Real Madrid Alhamisi kutokana na jeraha la misuli ya paja. Barca leo …
Galtier Amshukuru Mbappe Ambaye Ameweka Rekodi Baada ya Ushindi
Kocha mkuu wa PSG, Christophe Galtier amemsifu Kylian Mbappe kwa uchezaji wake mzuri wa kuwa mfungaji bora wa pamoja wa Paris Saint-Germain katika ushindi wa 3-0 hapo jana dhidi ya …
PSG Wanajiandaa Kumnunua Salah Majira ya Kiangazi
Mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah, huenda akaondoka kwenye klabu hiyo na kwenda PSG msimu huu ikiwa watashindwa kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa. The Reds kwa sasa wako pointi tisa …
Singida Big Stars Kuumana Dhidi ya Mtibwa Sugar Leo
Ligi kuu ya NBC kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambapo timu ya Singida Big Stars itakuwa nyumbani kwake kumenyana dhidi ya Mtibwa Sugar majira ya saa 10:00 jioni. …
Namungo Yailaza Geita Gold ya Minziro
Klabu ya Namungo FC kutoka mkoani Lindi, imeicharaza Geita Gold ya Minziro mabao 2-1 kwenye mchezo ambao ulipigwa hapo jana majira ya saa 1:00 usiku katika dimba la Majaliwa. …
Yanga Yachukua Pointi 1 Mali
Klabu ya Yanga imeshindwa kuchukua pointi 3 na kuchukua moja pekee kwenye mchezo wa jana huko Mali ambapo walikuwa wakimenyana dhidi ya Real Bamako. Yanga walitangulia kupachika bao kupitia …

