Haaland Pekee Ndiye Yupo Mbele Kugombea Kiatu cha Dhahabu Dhidi ya Osimhen
Serie A

Mchezaji nyota wa Manchester City Erling Haaland pekee ndiye yuko mbele ya Victor Osimhen wa Napoli katika msimamo wa Kiatu cha Dhahabu cha Ulaya.   Mchezaji huyo wa Kimataifa wa …

Soma zaidi
City Yaanza Kumtupia Jicho Mac Allister
Daily News

Kwa mujibu wa Daily Star, klabu ya Manchester City wana nia ya kumleta nyota wa Brighton Alexis Mac Allister Etihad.   Nyota huyo wa safu ya kati amekuwa akihusishwa na …

Soma zaidi
Ronaldo Afunga Hat-trick ya Pili Katika Mechi 3 Alizoichezea Al Nassr
Daily News

Cristiano Ronaldo amewapita walinzi wa timu pinzani kwenye Saudi Pro League na kuweka hat-trick yake ya pili katika mechi tatu na kuipa Al Nassr ushindi wa 3-0 dhidi ya Damac …

Soma zaidi
Howe Anaitaka Newcastle Kuzoea Kuchezea Mataji
Carabao Cup

Kocha mkuu wa Newcastle United Eddie Howe anataka wachezaji wake wawe na mazoea ya kuchezea mataji katika fainali kabla ya mchezo wa leo wa Kombe la Carabao dhidi ya Manchester …

Soma zaidi
Klopp Aelezea Wasiwasi wa Liverpool Baada ya Sare Dhidi ya Palace
Daily News

Kocha mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp amekiri kuwa kuna kitu si sawa na uchezaji wa timu hiyo baada ya kuambulia sare ya 0-0 dhidi ya Crystal Palace hapo jana.   …

Soma zaidi
Namungo Dhidi ya Geita Gold Kumenyana Leo
SOKA LA BONGO

Ligi kuu ya NBC kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambapo Namungo FC itakiwasha dhidi ya Geita Gold kutoka mkoani Geita.   Mechi hiyo inatarajiwa kupigwa majira ya saa 1:00 …

Soma zaidi
Idd Nado Aipatia Azam FC Pointi 3
SOKA LA BONGO

Mchezaji wa Azam FC Idd Seleman Nado ameipatia timu yake pointi tatu hapo jana baada ya kupachika bao moja ambalo liliipa ushindi timu yake mpaka dakika 90 za mchezo kumalizika. …

Soma zaidi
Simba Yarejea Dar es Salaam Kutoka Uganda
CAF

Klabu ya Simba imerejea jijini Dar es salaam ikitokea Uganda baada ya kuvuna pointi tatu dhidi ya Vipers kwa kumtandika bao 1-0 akiwa nyumbani kwake kwenye uwanja wa St Marrys. …

Soma zaidi
Simba Yaipasua Vipers Nyumbani Kwake
CAF

Klabu ya Simba hatimaye hapo jana imepata ushindi wake wa kwanza kwenye michuano ya Klabu bingwa wakiwa ugenini baada ya kumtandika Vipers bao 1-0 ambalo lilifanya timu hiyo kupata pointi …

Soma zaidi
Arsenal Yaipasua Leicester City
Daily News

Klabu ya Arsenal imeendelea kujiimarisha kileleni baada ya kuitandika klabu ya Leicester City katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza uliopigwa katika dimba la King Power jioni hii. Goli la …

Soma zaidi
1 2 3 586 587 588 589 590 591 592 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.