Bruno Fernandes Anatarajia Ushindani Mkubwa Kutoka kwa Newcastle
Kiungo wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Ureno Bruno Fernandes amesema anatarajia ushindani mkubwa katika mchezo wa fainali wa kombe la Carabao hapo kesho kutoka kwa klabu …
Enzo Fernandez Awataka Mashabiki wa Chelsea Wawaamini
Enzo Fernandez amewataka mashabiki wa Chelsea kuwaamini wachezaji, wafanyakazi na kocha mkuu Graham Potter huku kukiwa na mwendelezo wa matokeo mabaya. Chelsea wameshinda mechi nne pekee kati ya 19 …
Klopp Anamtaka Barella Ili Aimarishe Safu ya Kiungo
Klabu ya Liverpool wamekuwa wakimtazama nyota wa Inter Milan Nicolo Barella ili kuimarisha safu yao ya kiungo msimu huu wa joto. Jurgen Klopp anasemekana kuwa na hamu ya kupata …
Simba ni Kufa au Kupona Huko Uganda Dhidi ya Vipers
Klabu ya Simba inatarajia kutupa karata yake nyingine huko Uganda leo dhidi ya Vipers kwenye michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika. Mechi hiyo ni ya tatu kwa Mnyama huku …
Coastal Union Kujiuliza Dhidi ya TZ Prisons
Mechi nyingine ya Ligi kuu ni ile kati ya Coastal Union dhidi ya Tanzania Prisons ambayo itapigwa majira ya saa 10:00 jioni katika dimba la mkwakwani Tanga. Coastal Union …
Azam FC Dhidi ya KMC Patachimbika Leo Chamazi
Ligi kuu ya NBC kuendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo mchezo mojawapo wa kuvutia ni kati ya Azam FC dhidi ya KMC majira ya saa 1:00 usiku. Azam …
Ihefu Yaicharaza Dodoma Jiji na Kuchukua Pointi 3
Timu ya Ihefu FC imejikusania pointi tatu hapo jana baada ya kuicharaza Dodoma Jiji akiwa kwao kwenye mchezo wa Ligi kuu ya NBC hapo jana kwa mabao 2-1. Mchezo …
Manchester United dhidi ya Real Betis 16 Bora Europa League
Klabu ya Manchester United imerudishwa tena nchini Hispania ni baada ya kupangwa na klabu ya Real Betis kwenye michuano ya Uefa Europa league hatua ya 16 bora baada ya droo …
Hizi ni Sababu 3 za Kuvutia Mechi ya Madrid Dabi Jumamosi Hii
Real Madrid vs Atletico Madrid watamenyana Jumamosi hii katika mchezo wa Madrid Dabi mchezo wa wa LaLiga Santander, hii ni moja ya mechi yenye msisimko kati ya timu mbili ambazo …
Ten Hag: Napenda Mpira wa Kuvutia Watu
Kocha wa Manchester United Erik Ten Hag amesema kua anapenda mpira ambao unavutia watu na sio mpira ambao unakera watu ameyazungumza hayo baada ya kushinda mchezo wa jana dhidi ya …

