Manchester United Bingwa Carabao Cup
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kutwaa taji la michuano ya Carabao Cup baada ya kufanikiwa kuifunga klabu ya Newcastle United kwa jumla mabao mawili kwa bila katika mchezo uliopigwa katika …
Yanga Yapata Sare dhidi ya Bamako
Klabu ya Yanga imefanikiwa kupata alama moja ugenini katika mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya klabu ya Real Bamako ya nchini kwa matokeo ya bao moja kwa …
Conte Kurejea Tottenham Wiki Ijayo
Kocha wa klabu ya Tottenham Hotspurs Antonio Conte atarejea kwenye majukumu yake ndani ya klabu hiyo wiki ijayo mazungumzo hayo ameyatoa kocha wa muda klabuni hapo Cristian Stellini. Kocha Conte …
Potter: Mimi Ndio Natakiwa Kuwajibika
Kocha wa klabu ya Chelsea Graham Potter amesema matokeo mabovu ambayo klabu ya Chelsea inaendelea kuyapata kwasasa yeye ndio anatakiwa kuwajibika na sio wachezaji wake. Kocha Potter wakati anazungumza na …
Tottenham Yafuta Uteja kwa Chelsea Yaipasua Mbili Bila
Klabu ya Tottenham Hotspurs imefanikiwa kufuta uteja kwa klabu ya Chelsea baada ya kuinyuka kwa mabao mawili kwa bila katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza uliopigwa katika dimba la …
Inter Milan Yapigwa Huko Serie A
Klabu ya Inter Milan imepoteza mchezo leo katika ligi kuu ya Italia Serie baada ya kukubali kichapo cha bao moja kwa bila dhidi ya klabu ya Bologna iliyokua nyumbani katika …
Yanga Kuisaka Rekodi Leo Mali
Klabu ya Yanga itakua ikisaka rekodi leo nchini Mali katika mchezo wake wa tatu wa hatua ya makundi kombe la shirikisho barani Afrika wakicheza na klabu ya Real Bamako kutoka …
Simeone Asikitishwa na Upendeleo wa Waamuzi Kwenye Mchezo wa Jana
Diego Simeone anaamini kuwa Real Madrid wanapokea upendeleo kutoka kwa waamuzi baada ya Angel Correa wa Atletico Madrid kutolewa kwa kadi nyekundu wakati wa mchezo wao wa Dabi. Mechi …
Rashford: Amshukuru Ten Hag
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Marcus Rashford ambaye amekua na kiwango bora sana kwasasa amemshukuru kocha wa klabu hiyo Erik Ten Hag kwa namna alivyomsaidia kua vizuri. Marcus Rashford …
Ten Hag: Uchambuzi wa Malijendi wa United Unaathiri Wachezaji
Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag amesema uchambuzi unaofanywa na malijendi wa zamani wa klabu hiyo kwenye vitu mbalimbali vya habari unaathiri wachezaji wake. Kuna wachezaji mbalimbali …

