Casemiro: Ten Hag Anapenda Kushinda
Daily News

Kiungo wa klabu ya Manchester United Carlos Casemiro anasema kocha wa klabu hiyo Erik Ten Hag ni kocha ambaye anapenda kushinda kila siku na anahitaji wachezaji wajitume kwelikweli. Kiungo Casemiro …

Soma zaidi
Xavi: Kutolewa Eurpa Hakutabadilisha Chochote
La Liga

Kocha wa klabu ya Fc Barcelona Xavi Hernandez amesema hajazingatia uchambuzi unaofanywa baada ya wao kutolewa michuano ya Europa kwakua hautabadilisha chochote. Kocha Xavi kwasasa amesema nguvu yote anaihamishia katika …

Soma zaidi
Arthur Melo Kucheza Mechi ya Vijana Liverpool
Daily News

Kiungo wa klabu ya Juventus anayekipiga ndani y klabu ya Liverpool Mbrazil Arthur Melo kukipiga katika mechi ya vijana wa Liverpool chini ya miaka 21 baada ya kutoka kwenye majeraha. …

Soma zaidi
Real Madrid Kuwalika Atletico Madrid Kwenye Madrid Derby
La Liga

Klabu ya Real Madrid leo itashuka dimbani kuwaalika mahasimu wa klabu yaAtletico Madrid katika mchezo wa ligi kuu ya Hispania utakaopigwa katika dimba la Santiago Bernabeu. Real Madrid leo watakwenda …

Soma zaidi
Antony: Kombe la Carabao Kuturudisha Tunapostahili
Daily News

Winga wa klabu ya Manchester Antony Santos amesema kua ushindi wa kombe la Carabao kesho dhidi ya klabu ya Newcastle unaweza kuirudisha klabu hiyo sehemu inapostahili kuwepo. Klabu ya Manchester …

Soma zaidi
Guardiola Anaamini Foden Atarudi Kwenye Ubora Wake
Daily News

Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amesema kua anaamini mchezaji wake Phil Foden atarejea kwenye ubora wake baada ya kua na kiwango cha chini baada ya kutoka kwenye …

Soma zaidi
Pogba na Chiesa Wanatarajiwa Kurejea Juventus Kwenye Mchezo wa Dabi Dhidi ya Torino
Serie A

Juventus wanajiandaa na Derby della Mole dhidi ya wapinzani wao Torino na wameona dalili chanya kurejea kwa Paul Pogba na Federico Chiesa.   Bianconeri wametinga hatua ya mtoano ya Ligi …

Soma zaidi
Inter Wamekasirishwa na Milan Kuhusu Kugawanywa kwa Uwanja Mpya
Serie A

Klabu ya Inter wanaripotiwa kukasirishwa na Milan kwa jinsi wanavyoshughulikia mradi mpya wa uwanja, na kuhatarisha kuvunjika kwa ushirikiano.   La Gazzetta dello Sport inaeleza jinsi Nerazzurri tayari wameweka wazi …

Soma zaidi
Beki wa Zamani wa Madrid Marcelo Amerejea Katika Klabu yake ya Utotoni Fluminense
Daily News

Beki wa zamani wa Real Madrid Marcelo amerejea katika klabu ya utotoni ya Fluminense, akitia saini mkataba hadi mwisho wa 2024.   Beki huyo mkongwe wa kushoto, ambaye alianza uchezaji …

Soma zaidi
Saliba Aapa Kurejea Kwenye Ubora Wake
Daily News

William Saliba ameapa kurejea katika ubora wake hivi karibuni kufuatia kipindi kigumu cha hali yake, kabla ya pambano la Arsenal dhidi ya Leicester City.   Beki huyo amekuwa na jukumu …

Soma zaidi
1 2 3 587 588 589 590 591 592 593 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.