Dodoma Jiji Uso kwa Uso Dhidi ya Ihefu
Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kuendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo moja ya mchezo wa kuvutia ni ule utakaowakutanisha kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Ihefu majira ya …
Dmitrovic Akumbana na Mpambano wa Shabiki Baada ya Kupoteza Dhidi ya PSV
Kipa wa Sevilla Marko Dmitrovic alionya kuwa anajua jinsi ya kujilinda baada ya kuhusika katika ugomvi na shabiki wakati wa kupoteza kwao Ligi ya Europa dhidi ya PSV. Mlinda …
Manchester United Kukutana na Arsenal Ligi ya Uropa?
Raundi ya mtoano wa Ligi ya Uropa ilifikia tamati Alhamisi usiku, huku droo ya hatua ya 16 ikipangwa kufanyika Ijumaa alasiri. Huku Manchester United ikifikiriwa kukutana na timu zilizofuzu moja …
Mbappe, Neymar na Varane Wanaongoza Heshima kwa Ramos Baada ya Kustaafu Timu ya Taifa
Kylian Mbappe, Neymar na Raphael Varane walikuwa miongoni mwa waliotoa pongezi kwa Sergio Ramos baada ya kustaafu soka la kimataifa. Beki huyo mkongwe, mshindi wa Kombe la Dunia na …
Busquets: “Kuondolewa Ligi ya Europa Hakutaathiri Ligi ya Ndani”
Sergio Busquets amekiri Barcelona wana hasira baada ya kuondoka kwao kwenye Ligi ya Europa baada ya kuchapwa na Manchester United, lakini anasisitiza kwamba haitaathiri kiwango chao cha nyumbani. Kikosi …
Allegri Amsifu Di Maria Baada ya Kufunga Hat-trick
Kocha mkuu wa Juventus Massimiliano Allegri ameusifu uchezaji wa Angel Di Maria baada ya winga huyo kufunga hat-trick na kuisaidia timu hiyo kuitoa Nantes siku ya jana na kutinga hatua …
Akaminko Anukia Simba| Mkude Kumpisha
Kiungo hatari kwa sasa pale kwa viunga vya Azam Complex- Chamazi James Akaminko, mambo yamekuwa makubwa zaidi ambapo inadaiwa kuwa anahitajika pale kwenye klabu ya Simba SC mitaa ya Kariakoo. …
Antony Aizamisha Majini Barca kwa Dak 56 Tu
Mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya Brazil Antony amewafunga midomo wale wote waliokuwa wakimponda na kukosoa usajili wake ndani ya Old Trafford. Odds kubwa za soka unazipata …
Ramos Atangaza Kustaafu Hispania Aacha Maswali Kibao
Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Hispania na klabu ya Real Madrid Sergio Ramos ambaye anakipiga klabu ya PSG kwasasa ametangaza kustaafu timu ya taifa ya Hispania ambayo …
Kvaratskhelia Kua Mbadala wa Bellingham
Winga matata wa klabu ya Napoli Khvicha Kvaratskhelia inaelezwa anaweza kua mbadala wa kiungo Jude Bellingham kama akikosekana kwenye dirisha kubwa la usajili ndani ya klabu ya Real Madrid. Klabu …

