Mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya Brazil Antony amewafunga midomo wale wote waliokuwa wakimponda na kukosoa usajili wake ndani ya Old Trafford. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

antony

Katika mechi dume ya jana kwenye dimba la OT, Manchester walitoka nyuma baada ya kutanguliwa kwa bao moja la mkwaju wa penati baada ya Bruno Fernandes kufanya madhambi ndani ya eneo la hatari, na Robert Lewandowski akautupia kimiani mpira huo.


 

antony

Lakini iliwachukua takribani dakika 45 za kwanza Manchester United kusawazisha bao hilo kwa shuti kali lililopigwa na Fred, likazama langoni na kuwafanya mzani wa matokeo kuwa sawa. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Hata hivyo unaweza kusema siku ya bahati huonekana mapema sana, ni baada ya majaribio kadhaa ya Kiungo huyo Antony akafunga goli zuri baada ya piga nikupe nyingi na ndipo mshambuliaji huyo akautupia langoni mpira huo. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

Ushindi wa Jana unawafanya Manchester United kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Uropa baada ya ushindi wa jumla wa mabao 4-3. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa