Kiungo hatari kwa sasa pale kwa viunga vya Azam Complex- Chamazi James Akaminko, mambo yamekuwa makubwa zaidi ambapo inadaiwa kuwa anahitajika pale kwenye klabu ya Simba SC mitaa ya Kariakoo. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

akaminko

Simba kwa sasa wana tatizo eneo la kiungo baada ya kumsajili Ismael Sawadogo, lakini bado inaonekana kuna changamoto kubwa kwenye eneo la kiungo mkabaji ambapo kazi hiyo, ilikuwa ikifanywa na Jonas Mkude, James Kotei ambaye hayupo Msimbazi kwa sasa, na Gerson Fraga nae aliondolewa kikosini kutokana na majeraha, akaja Thadeo Lwanga ambapo nae aliondoka msimu huu na kujiunga na Vipers United ya nchini kwao Uganda.


 

akaminko

Hata baada ya taarifa za ndani kabisa zinaeleza kwamba Kiungo Jonas Mkude atampisha James Akaminko kucheza eneo hilo. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Kwa msimu huu Akaminko amekuwa ni msaada mkubwa sana kwa timu ya Azam FC, ambaye anaunganisha vizuri safu ya ulizni na kiungo lakini pia akihusika kutengeneza magoli kwa kupiga pasi nzuri kwa viungo washambuliaji.

Endapo kama uongozi wa Simba SC watakuwa na makini na dili hili, basi watatibu tatizo la kiungo ambalo limekuwa likiwasumbua sana kwa misimu miwili sasa. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa