Nabi Aikataa Taifa Stars
SOKA LA BONGO

Kocha wa klabu ya Yanga Nasserdine Nabi amesema kua timu ambayo anaweza kuifundisha akiwa hapa nchini Tanzania ni klabu ya soka ya Yanga na sio timu nyingine yeyote. Kocha Nabi …

Soma zaidi
Manchester United Kuuzwa Mwishoni mwa Msimu
Daily News

Taarifa zinaeleza kua klabu ya Manchester United inatarajiwa kuuzwa mwishoni mwa msimu huu kutokana na wamiliki wa klabu hiyo kuamua mchakato wa kuiuza klabu hiyo usogezwe mbele. Klabu ya Manchester …

Soma zaidi
Xavi Aipa Nafasi Real Madrid Kutinga Fainali Copa de le Rey
La Liga

Kocha wa klabu ya Barcelona Xavi amewatafsiri Real Madrid kama wapinzani wagumu na kusema anawapa nafasi vijana wa Ancelotti kutinga fainali kuelekea mchezo wa El Clasico kesho hatua ya nusu …

Soma zaidi
Ancelotti: Hatutarudia Makosa Dhidi ya Barcelona
La Liga

Kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti amesema hawatarudia makosa dhidi ya klabu ya Barcelona ambayo waliyafanya katika michezo iliyopita ameyasema kuelekea mtanange wa El Clasico. Klabu ya Real …

Soma zaidi
Liverpool na Real Madrid Wachuana kwa Bellingham
Daily News

Klabu ya Liverpool ya na Real Madrid zimeingia kwenye vita kali ya kumuwania kiungo wa klabu ya Borussia Dortmund raia wa kimataifa wa Uingereza Jude Bellingham. Klabu ya Liverpool na …

Soma zaidi
Guardiola: Sipotezi Muda Kufikiria Kushinda Mataji Matatu
Daily News

Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amesema hapotezi hata sekunde kufikiria kushinda mataji matatu ndani ya msimu huu kama ambavyo watu wengi wanafikiri timu hiyo inaweza kushinda mataji …

Soma zaidi
Manchester United na Crystal Palace Wapigwa Faini
Daily News

Klabu ya Manchester United na klabu ya Crystal Palace wamepigwa faini na shirikisho la mpira nchini Uingereza baada ya kushindwa kuwadhibiti wachezaji wake wasifanye vurugu katika mchezo uliozikutanisha timu hizo …

Soma zaidi
Ten Hag: Kushinda Mataji Manne Msimu Huu ni Maneno ya Mashabiki
Daily News

Kocha wa Manchester United Erik Ten Hag amesema suala la klabu yake kushinda mataji manne msimu huu ni suala ambalo linazungmwa na mashabiki wa klabu hiyo tu. Erik Ten Hag …

Soma zaidi
Ten Hag: Casemiro Ameongeza Ari ya Ushindani kwenye Timu
Daily News

Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag amesema kua kiungo wa klabu hiyo Carlos Casemiro ameongeza ari ya ushindani kwenye klabu hiyo tangu amejiunga hapo. Ten Hag anaamini …

Soma zaidi
Ancelotti Asema Vinicius Alistahili Kuwepo Kwenye Kikosi Bora
La Liga

Kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti amesema kua mchezaji raia wa kimataifa wa Brazil Vinicius Jr alistahili kwenye kikosi bora cha FIFA kilichotangazwa usiku wa jana kwenye ghafla …

Soma zaidi
1 2 3 582 583 584 585 586 587 588 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.