Sabitzer Anataka Kubaki Man United
Kiungo wa klabu ya Fc Bayern Munich Marcel Sabitzer ambaye yupo kwa mkopo ndani ya klabu ya Manchester United taarifa zinaeleza kiungo anatamani kuendelea kubaki ndani ya viunga vya Old …
Casemiro Amwagiwa Misifa na Andy Cole
Gwiji wa zamani wa klabu ya Manchester United Andy Cole amemwagia sifa kiungo wa klabu hiyo raia wa kimataifa wa Brazil Carlos Casemiro na kusema amebadilisha timu hiyo kwa kiasi …
Thiago Silva Kuikosa Dortmund
Beki wa klabu ya Chelsea Thiago Silva anatarajiwa kuukosa mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa ulaya hatua ya 16 baada ya kupata majeraha katika mchezo wa ligi kuu ya …
James Kuukosa Mchezo wa Grizzlies Baada ya Kupata Maumivu ya Mguu
LeBron James anakosa mchezo wa Los Angeles Lakers dhidi ya Memphis Grizzlies baada ya kuonekana kupata jeraha katika mechi yake ya mwisho. James alikuwa akichechemea hadi mwisho wa ushindi …
Napoli Iko Tayari Kumuongezea Mshahara Kvaratskhelia Mara Mbili
La Gazzetta dello Sport limeripoti kuwa Napoli wanapanga kuongeza mshahara wa Khvicha Kvaratskhelia mara mbili ifikapo mwisho wa msimu huu, wakitumai kusalia Stadio Maradona licha ya kutakiwa na Real Madrid …
Marotta Anasisitiza Inter Kuwa Wana Imani Thabiti na Inzaghi
Giuseppe Marotta anasema Inter Milan haijawahi kukosa imani na Simone Inzaghi lakini lazima klabu itafute tiba kufuatia kichapo cha 1-0 cha Serie A dhidi ya Bologna siku ya Jumapili. …
Rais wa Soka wa Canada Ajiuzulu Kutokana na Mvutano na Timu za Kitaifa
Nick Bontis amejiuzulu kama rais wa Canada kwa kuwa shirikisho hilo bado halijapata makubaliano ya pamoja ya mazungumzo na timu zake za Kitaifa. Soka la Canada limekuwa chini ya …
Golikipa wa Real Madrid Canizares Amesaini Mkataba Mpya
Mlinda mlango wa Real Madrid Lucas Canizares amesaini mkataba mpya na wababe hao wa LaLiga. Canizares bado hajacheza mechi ya wakubwa Real, lakini ametajwa miongoni mwa wachezaji wao wa …
James: “Tunafanya Kila Tuwezalo Turejee Kwenye Ubora Wetu”
Reece James ameapa Chelsea itashikamana hata iweje huku wakipambana kubaki kwenye nafasi nzuri msimu huu. The Blues wako katika hali mbaya na hawajashinda tangu walipoifunga Crystal Palace Uwanja wa …
Pep Aikaribisha United Tena Baada ya Kushinda Kombe la EFL
Kocha mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kuwa ikiwa Manchester United bado hawajarejea tayari, watakuwa wamechelewa sana msimu huu. United iliitandika Newcastle United mabao 2-0 katika fainali ya …

