Shaw: Ushindi Dhidi ya Liverpool Ndio Utahibitisha Tunataka Ubingwa Epl
Daily News

Beki wa klabu ya Manchester United Luke Shaw amesema kua ushindi wao dhidi ya klabu ya Liverpool kesho ndio utawafanya kuonekana wako makini na wanahitaji ubingwa wa ligi kuu ya …

Soma zaidi
Klopp na Ten Hag Kukomesha Nyimbo Mbaya za Mashabiki
Daily News

Makocha wa vilabu vya Liverpool na Manchester United Jurgen Klopp na Erik Ten Hag wameamua kuungana ili kuhakikisha wanakomesha vitendo vya mashabiki wa vilabu hivo kuimba nyimbo za msiba katika …

Soma zaidi
Ederson Afikisha Michezo 100 Bila kuruhusu bao Epl
Daily News

Golikipa wa klabu ya Manchester City Ederson Moraes amefanikiwa kuweka rekodi ya kufikisha michezo 100 kwenye ligi kuu ya Uingereza bila kuruhusu wavu wake kuguswa. Ederson ambaye kwasasa ana msimu …

Soma zaidi
Allegri: Kuingia Nafasi ya nne kama tumebeba makombe matatu
Serie A

Kocha wa klabu ya Juventus Massilimiano Allegri amesema wakifanikiwa kuingia kwenye nafasi nne za juu ambazi zitawafanya kufuzu ligi ya mabingwa ulaya msimu ujao watafurahie kama wamebeba mataji matatu. Klabu …

Soma zaidi
Manchester City Yaichapa Newcastle
Daily News

Klabu ya Newcastle United imekua na bahati mbaya na timu kutoka katika jiji la Manchester kwani leo tena wamepokea kichapo kutoka klabu ya Manchester City katika mchezo wa ligi kuu …

Soma zaidi
Taifa Stars Yapata Kocha Mpya
SOKA LA BONGO

Timu ya taifa ya mpira wa miguu Tanzania Taifa Stars imefanikiwa kupata kocha mkuu rasmi raia wa kimataifa wa Algeria akifahamika kama Adel Amrouche mwenye umri wa miaka 58. Taifa …

Soma zaidi
Juventus Ipo Kwenye Mazungumzo ya Mkataba na Di Maria
Serie A

Juventus wanajiandaa kwa mazungumzo na Angel Di Maria huku wakitarajia kuongeza muda wake wa kukaa Turin na mambo matatu muhimu yatazingatiwa.   Msimu wa kwanza wa winga huyo wa Argentina …

Soma zaidi
Roma Iko Hatarini Kumpoteza Pellegrini Kwenye Mechi ya Juventus
Serie A

Klabu ya Roma huenda ikawalazimu kucheza mchezo wao wa kesho bila nahodha Lorenzo Pellegrini kwa mechi ya kesho na kikosi kilichofufuka cha Juventus.   The Giallorossi wanatumai kusalia katika kinyang’anyiro …

Soma zaidi
Mtibwa Sugar Uso kwa Uso Dhidi ya KMC Kombe la Shirikisho la Azam
SOKA LA BONGO

Mchezo mwingine wa leo wa Kombe la Shirikisho la Azam hii leo ni kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya KMC majira ya saa 10:00 jioni katika dimba la Manungu.   …

Soma zaidi
Ihefu Kukiwasha Dhidi ya Pan African Kombe la Azam
SOKA LA BONGO

Timu ya Ihefu inatarajia kushuka dimbani hii kumenyana dhidi ya Pan African kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam majira ya saa 10:00 jioni.   Ihefu inacheza ligi kuu …

Soma zaidi
1 2 3 578 579 580 581 582 583 584 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.