Simba Kuendelea Kuitafuta Robo Fainali Leo Dhidi ya Vipers
SOKA LA BONGO

Simba leo itaendelea kuitafuta robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika wakiwakaribisha klabu ya soka ya Vipers kutoka nchini Uganda katika mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika hatua ya makundi. …

Soma zaidi
Osimhen: Ninapambana Ili Niweze Kucheza Epl
Serie A

Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria anayekipiga klabu ya Napoli ya nchini Italia Victor Osimhen amesema anapambana kila siku ili kuhakikisha anacheza kwenye ligi kuu ya Uingereza. Victor Osimhen ana ndoto …

Soma zaidi
Joao Cancelo Kuanzia Benchi dhidi ya PSG
Daily News

Aliyekuwa nyota wa Manchester City Jaoa Cancelo Inasemekana ataanzia benchi kwenye mechi dhidi ya Paris Saint-Germain Jumatano usiku huku Julian Nagelsmann akichagua kutumia mabeki watatu. Odds kubwa za soka unazipata …

Soma zaidi
Yanga Iko Tayari Kumuuza Feisal Popote
SOKA LA BONGO

Klabu ya Yanga na mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya NBC, hatimaye wameweka wazi nia yao ya kumuuza mchezaji wao Feisal Salum Fei toto baada ya changamoto za kimkataba na …

Soma zaidi
Simba Yaja na Staili Mpya ya Kushangilia| Vipers Watakoma
SOKA LA BONGO

Afisa Habari wa Klabu ya Simba SC Ahmed Ally ametoa utaraibu mpya wa kushangilia kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Vipers na michezo mingine ya kimataifa. Odds kubwa za soka …

Soma zaidi
Feisal Kaa Chini Malizana na Yanga
SOKA LA BONGO

Nataka niseme na wewe kiungo kisheti, Zanzibar Finest Feisal Salum Fei Toto wengi wanakupenda sana hata wale waliopo Yanga wanakupenda sidhani kama wanatak kuona wewe ukipotea kisoka. Odds kubwa za …

Soma zaidi
7:0 Liverpool vs Man U ni Maana Halisi ya Mdomo Huponza Kichwa
News

Wakati dunia ya wanasoka ikicheka na kudhihaki matokeo ya Manchester United katika mchezo wao wa jana dhidi ya Liverpool, Mimi naona mdomo ndio uliwaponza mashabiki wa Manchester. Odds kubwa za …

Soma zaidi
Rekodi za Liverpool vs Manchester United| Timu Gani Inaongoza?
Daily News

Katika mechi 212 za mashindano yote, United wanaongoza kushinda dhidi ya Liverpool, ushindi mara 83 dhidi ya 71, na sare 52.|Ligi Kuu (PL) Liverpool ameshinda michezo 30, Sare ni michezo …

Soma zaidi
Barcelona Yaibamiza Valencia
La Liga

Klabu ya Fc Barcelona imefanikiwa kupata ushindi dhidi ya klabu ya Valencia wakiwa katika dimba lao la nyumbani Camp Nou katika mchezo wa ligi kuu nchini Hispania La liga. Barcelona …

Soma zaidi
Trent: Niliumia Man United Kushinda Ubingwa
Daily News

Beki wa kulia wa klabu ya Liverpool Trent Alexender Arnold amesema kua kitendo cha klabu ya Manchester United kubeba ubingwa wa kombe la Carabao wikiendi iliyomalizika ni kitendo kilichomuumiza. Trent …

Soma zaidi
1 2 3 576 577 578 579 580 581 582 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.