Yanga Iko Tayari Kumuuza Feisal Popote

Klabu ya Yanga na mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya NBC, hatimaye wameweka wazi nia yao ya kumuuza mchezaji wao Feisal Salum Fei toto baada ya changamoto za kimkataba na mchezaji huyo kutokea miezi kadhaa. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

 

yanga-feisal

Awali uongozi wa timu ya wananchi ulipeleka shauri lake TFF kwaajili ya kusikilizwa na uamuzi kutoka, ukionesha Feisal ni mchezaji halali wa Yanga lakini bado upande wa mchezaji haukuridhika na hukum hiyo na hivyo kuomba marejeo ya kesi yao lakini bado uamuzi wa pili ukawa na faida kwa Yanga.

Hatimaye Machi 06, 2023 wametoa taarifa wakielezea kuwa wamemuandikia barua Feisal ya kumtaka kurejea kambini haraka ili kuutumikia mkataba wake unaoisha 30 Mei 2024 na pia wapo tayari kufanya maboresho ya mkataba. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

“Uongozi wa Yanga upo tayari kufanya mazungumzo na Feisal Salum Abdallah na wawakilishi wake, juu ya maboresho ya mkataba wake kama wataridhia” Taarifa kutoka klabuni hapo ilisomeka.

Lakini walienda mbali zaidi na kuweka wazi nia yao ya kumuuza kama itatokea klabu yeyote ikimhitaji. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

“Klabu ya Yanga ipo tayari kumruhusu Feisal Salum Abdallah kuondoka klabuni kwa kuzingatia matakwa ya kimkataba, na sheria za uhamisho wa mchezaji zinazotambulika na TFF pamoja na FIFA. Ikiwa pia kuna klabu yeyote inahitaji huduma ya mchezaji huyu, klabu ya Yanga iko tayari kufanya mazungumzo wakati wowote”.

Aidha haya yanajiri baada ya mapema hii leo kusambaa kwa taarifa zikielezea, Mchezaji Feisal amerudi TFF kuomba kuvunja mkataba wake na Yanga. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.