Richarlison Akasirishwa Kutokana na Kukosa mda wa Kucheza
Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil anayekipiga klabu ya Tottenham Hotspurs Richarlison ametema nyongo baada ya klabu yake kutupwa nje ya michuano ya ulaya usiku wa jana na kulaumu kutokana na …
Muller: Nikikutana na Messi Kila Kitu Kinaenda Sawa
Mshambuliaji wa klabu ya Fc Bayern Munich Thomas Muller anasema anapokutana na staa wa klabu ya PSG Lionel Messi kwenye mashindano kila kitu kinaenda sawa kwa maana ya kupata matokeoi …
Fernandez Anaamini Chelsea Iko Kwenye Njia Sahihi Chini ya Potter
Enzo Fernandez anaamini kuwa Chelsea wako katika njia sahihi chini ya Graham Potter, baada ya kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa baada ya kuitoa Borussia Dortmund. Mabao ya …
KMC Kukiwasha Dhidi ya Kagera Leo Hii
Ligi kuu ya NBC kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambapo KMC watawaalika Kagera Sugar majira ya saa 10:00 jioni kusaka pointi tatu. KMC ambao wana hali mbaya kwenye …
Yanga Yalamba Milioni 10 za Mama Samia Jana
Klabu ya Yanga imelamba tena Milioni 10 za mama Samia hapo jana baada ya kuikandamiza Real Bamako mabao 2-0 katika Dimba la Benjamin Mkapa. Mabao hayo ya ushindi yalitupiwa …
Neville: Messi Kwenda Marekani Utakua Usajili wa Kihistoria
Gwiji wa zamani wa klabu ya Manchester United, Everton na timu ya taifa ya Uingereza Phil Neville amesema nyota wa klabu ya PSG Lionel Messi akijiunga na ligi kuu ya …
Scott Parker Afukuzwa Tena
Kocha wa kimataifa wa Uingereza na mchezaji wa zamani wa vilabu vya Chelsea,Fulham, na Tottenham Scott Parker amefukuzwa kazi tena akiwa kama kocha wa klabu ya Club Brugge. Kocha Scott …
Koulibaly Aitaka Napoli Fainali Uefa
Beki wa zamani wa klabu ya Napoli anayekipiga ndani ya klabu ya Chelsea kwasasa Kalidou Koulibaly amesema anatamani kuiona fainali klabu ya Chelsea na klabu yake ya zamani ya Napoli …
Enzo Fernandez; Chelsea iko njia sahihi Chini ya Potter
Kiungo wa kimataifa wa Argentina anayekipiga katika klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza Enzo Fernandez amesema anaiona klabu hiyo ipo njia sahihi chini ya kocha wasasa Graham Potter. Enzo Fernandez …
Gabriel Jesus Afanya Mazoezi na Wenzake
Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal raia wa kimataifa wa Brazil Gabriel Jesus ameanza kufanya mazoezi na wenzake kuelekea mchezo wa kombe la Europa dhidi ya klabu ya Sporting Lisbon ya …

