Scott Parker Afukuzwa Tena

Kocha wa kimataifa wa Uingereza na mchezaji wa zamani wa vilabu vya Chelsea,Fulham, na Tottenham Scott Parker amefukuzwa kazi tena akiwa kama kocha wa klabu ya Club Brugge.

Kocha Scott Parker amekutana na kadhia hiyo baada ya klabu yake ya Club Brugge kutupwa nje ya michuano ya ligi ya mabingwa ulaya na klabu ya Benfica, Huku klabu hiyo ikiwa ilifanya vizuri kwenye hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa ulaya ikimaliza kama kiongozi wa kundi.scott parkerKlabu ya Club Brugge chini ya Scott Parker imetupwa nje ya michuano ya ligi ya mabingwa ulaya kwa kipigo cha aibu kwani jana walifungwa mabao matano kwa bila katika dimba la Estadio da Luz, Hiyo ni baada ya kufungwa kwao mabao mawili kwa bila mchezo wa kwanza hivo kutolewa kwa jumla ya mabao 7-1.scott parkerKocha huyo pia amekua na wastani mbovu wa kupata matokeo tangu atue klabuni hapo ambapo amedumu kwa jumla ya miezi mitatu tu, Kwani kwenye michezo 12 aliyoiongoza klabu hiyo ameshinda michezo miwili tu, sare 6, na vipigo vinne jambo ambalo halijawafurahisha waahiri wake.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.