Ancelotti Anukia Brazil
Daily News

Kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti inaripotiwa ananukia kunako timu ya taifa ya Brazil ambapo amekua akihusishwa kwa muda mrefu kuchukua kibarua cha timu hiyo. Ancelotti inatajwa yupo …

Soma zaidi
Henry PSG Watapitia Kipindi Kigumu Kumbakiza Mbappe
Champions League

Mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Arsenal, Barcelona na timu ya taifa ya Ufaransa Thiery Henry amesema kua klabu ya PSG itapitia wakati mgumu sana kumbakiza Mbappe baada ya kutolewa …

Soma zaidi
Arteta: Akili Yangu Ipo Arsenal
Daily News

Kocha wa klabu ya Arsenal Mikel Arteta amesema akili yake kwasasa ipo ndani ya klabu ya Arsenal ameyazungumza hayo baada ya kuulizwa kuhusu kujiunga na klabu ya Real Madrid. Kocha …

Soma zaidi
Manchester United Kujipata leo Kwa Betis?
Europa League

Klabu ya Manchester United leo itashuka dimbani katika dimba la Old Trafford kuwakaribisha klabu ya Real Betis kutoka nchini Hispania katika mchezo wa kombe la Uefa Europa League. Maswali ni …

Soma zaidi
Conte Nitaamua Hatma Yangu Mwisho wa msimu
Daily News

Kocha wa klabu ya Tottenham Hotspurs Antonio Conte amesema kua hatma yake na klabu hiyo itajulikana baada ya msimu huu kumalizika kwakua watakaa mezani na klabu hiyo. Antonio Conte amekua …

Soma zaidi
Tomori Ampa Ujumbe Southgate
Champions League

Fikayo Tomori amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi na UEFA kwa uchezaji wake katika uamuzi wa Ligi ya Mabingwa wa Milan dhidi ya Tottenham, na kutuma ujumbe wa wazi kwa …

Soma zaidi
Simba Yaifuata Mtibwa Sugar Manungu
SOKA LA BONGO

Baada ya kuchukua alama tatu dhidi ya Vipers klabu ya Simba imeifuata Mtibwa Sugar mkoani Morogoro kwaajili ya mchezo wao wa ligi kuu ya NBC ambao unatarajiwa kupigwa siku ya …

Soma zaidi
Pogba Kuwakosa Freiburg Kisa Nidhamu
Europa League

Kiungo wa klabu ya Juventus na klabu na timu ya taifa ya Ufaransa Paul Pogba inaelezwa ataukosa mchezo wa kombe la Europa League kwasasa zinazoelezwa kua ni matatizo ya kinidhamu. …

Soma zaidi
Vipers Yamtimua Kocha Wake
Daily News

Klabu ya Vipers ya nchini Uganda imemtimua kocha wake Roberto Luiz Bianchi baada ya kuwa na mwendelezo mbaya wa matokeo kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika.   Roberto toka michuano …

Soma zaidi
Mbappe Ameangazia Ligue 1 Zaidi Baada ya Kuondolewa UCL
Champions League

Kylian Mbappe amesisitiza kuondolewa kwa Paris Saint-Germain Ligi ya Mabingwa na Bayern Munich hakutaathiri mustakabali wake kwani mshambuliaji huyo anaangazia ubingwa wa Ligue 1.   Mabao ya Eric Maxim Choupo-Moting …

Soma zaidi
1 2 3 572 573 574 575 576 577 578 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.