Conte Awakosoa Mashabiki Asema Uvumilivu Umekwisha
Daily News

Antonio Conte anaamini Tottenham wako tayari kuwa na subira naye lakini mashabiki wasio wa kweli wa Spurs hawako tayari.   Shinikizo linaongezeka kwa Conte kufuatia mwenendo mbaya uliomaliza matumaini ya …

Soma zaidi
Inzaghi Awaambia Inter Waongeze Kiwango
Serie A

Simone Inzaghi ameionya Inter Milan kuwa lazima waonyeshe imani na nia zaidi baada ya kulala kwa 2-1 katika Serie A dhidi ya Spezia iliyo hatarini kushuka daraja siku ya jana. …

Soma zaidi
Guardiola Awataka Wachezaji Wakubwa Wawe na Tabia Nzuri
Daily News

Pep Guardiola anataka kumuona Kyle Walker na kila mtu katika timu yake ya Manchester City wakifanya kama watu wazima lakini akasisitiza kwamba hatakiwi kudhibiti biashara yao ya nje ya kazi. …

Soma zaidi
Guardiola: “Haaland Anaweza Kucheza Uingereza, Ujerumani, Congo Na Kokote Kule”
Daily News

Pep Guardiola anaamini Erling Haaland anaweza kuzoea mchezo wake kucheza katika nchi yoyote baada ya msimu wa kwanza wa kuvutia kwenye Ligi kuu ya Uingereza.   City ilimsajili Haaland kutoka …

Soma zaidi
Neymar Afanyiwa Upasuaji
Ligue 1

Klabu ya PSG imetangaza kuwa Neymar amefanikiwa kufanyiwa upasuaji kwenye jeraha lake la kifundo cha mguu ambalo litamuweka nje msimu huu mzima.   Mbrazil huyo amekuwa nje ya uwanja tangu …

Soma zaidi
Namungo Kumenyana Dhidi ya Tanzania Prisons
SOKA LA BONGO

Ligi kuu ya NBC Tanzania kuendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo mchezo wa saa 1:00 usiku utakuwa ni kati ya Namungo dhidi ya Tanzania Prisons kutoka Mbeya.   Namungo …

Soma zaidi
Kibu Denis Kuiwahi Mtibwa Sugar
SOKA LA BONGO

Mshambuliaji wa klabu ya Simba Kibu Denis inaripotiwa kua atakuwepo katika mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya klabu ya Mtibwa Sugar unaotarajiwa kupigwa kesho mkoani Morogoro. Mshambuliaji Kibu …

Soma zaidi
Guardiola Apiga Mkwara Wachezaji Wake Baada ya Kitendo cha Walker
Daily News

Kocha wa Klabu ya Manchester City Pep Guardiola amewaonya wachezaji wa klabu yake kua wasitarajie faragha baada ya kufanya vitendo ambavyo sio vya kinidhamu na hiyo imekuja baada ya kitendo …

Soma zaidi
Bruno Fernandes Anamvutia Ten Hag
Daily News

Kiungo wa klabu ya Manchester United Bruno Fernandes anamkosha kocha wa klabu hiyo Erik Ten Hag kutokana na kucheza kwa hisia anapokua uwanjani japo anaona anatakiwa kuweka usawa. Kiungo Bruno …

Soma zaidi
Klopp Alishangazwa na Maamuzi ya Firmino
Daily News

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema alishangazwa na kitendo cha mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil Roberto Firmino kuamua kuondoka ndani ya klabu hiyo baada ya kukaa klabun hapo kwa muda …

Soma zaidi
1 2 3 569 570 571 572 573 574 575 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.