Mkombozi wa Arsenal Reiss Nelson amefichua kile ambacho kocha wake Mikel Arteta alimwambia kabla ya kuingia uwanjani na kufunga bao la ushindi kwenye matokeo ya 3-2 dhidi ya Bournemouth jana. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Mhitimu huyo wa akademi ya Hale End, ambaye aliingia kama mchezaji wa akiba kipindi cha pili, alisaidia kusawazisha kwa Ben White dakika ya 70 kabla ya kufunga bao la ushindi dakika za majeruhi, mshangao uliopelekea Uwanja wa Emirates kuwa katika hali ya butwa na furaha. Akiongea juu ya kile Arteta alimwambia kabla hajaingia, Nelson alisema: “Alisema tutanue uwanja, unajua.
“Tumia uwezo wako, nenda mmoja dhidi ya mmoja kwa beki wa pembeni na ndicho nilichojaribu kufanya. Nina furaha na pasi ya bao na bao jenyewe siku za furaha kwetu.”
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
“Ilianguka upande wangu wa kulia,” Nelson aliongeza. “Nilitaka kuipiga kwa kamba upande wangu wa kulia lakini nikaona beki akitoka nje, hivyo nikaamua kuihamisha kushoto kwangu na ikabidi niipige, nikilenga nyavu za juu, kitu kama hicho! nina furaha tu iliingia nimefurahishwa nayo.
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
“Mpira ulipotoka kwangu nilikuwa nikifikiria ‘tafadhali nipe nafasi moja’. Ninapiga kelele, nina furaha sana. Niliudhibiti kwa mguu wangu wa kulia na ukaingia upande wangu wa kushoto. Tunahitaji dakika kama hizi ikiwa tunataka kwenda njia yote.
“Hatuangalii timu nyingine kwa sasa tunajikita zaidi. Tutaendelea siku hadi siku, mchezo kwa mchezo. Kama shabiki wa Arsenal, nimefurahishwa na matokeo.”
Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.