Sare ya 2-2 Yamkasirisha Arteta, Abainisha Udhaifu Wao

Kocha wa Arsenal Mikel Arteta amekiri kuwa timu yake inahitaji kuimarika zaidi ikiwa wanataka kusonga mbele katika Ligi ya Europa baada ya sare ya 2-2 na Sporting Lisbon. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

 

arteta

 

Arteta alifanya mabadiliko sita kwenye kikosi chake cha kwanza kwenye mechi hiyo ya hatua ya 16 bora ya Ligi ya Europa, ambapo alicheza kwa mara ya kwanza na beki wa Poland Jakub Kiwior na Gabriel Martinelli akiwekwa katikati bila Eddie Nketiah, Leandro Trossard na Gabriel Jesus.

Mabadiliko hayo yalionekana kuwa na matunda pale William Saliba alipoiweka Arsenal mbele kwa bao la mapema, lakini viongozi hao wa Ligi Kuu ya Uingereza walirudishwa nyuma kabla ya mapumziko na wangetoka sare ya 2-2 Ureno na kurejea Emirates. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Baada ya mchezo huo, Arteta aliwaonya wachezaji wake kwamba kikosi chake kinatakiwa kuacha kuruhusu mabao na kitahitaji kuongeza kiwango chao ikiwa wanataka kufuzu kwenye raundi inayofuata. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

“Ni kweli kwamba ni jambo ambalo ni lazima tuboreshe kwa kiasi kikubwa ikiwa tunataka kuendelea kushinda michezo.” Mhispania huyo aliiambia BT Sport.

“Unaporuhusu mabao mawili kirahisi kama tulivyofunga ugenini Ulaya ni vigumu sana kupata matokeo chanya.

“Tulitoa mipira mingi sana rahisi. Tunahitaji kulinda eneo letu la boksi vizuri zaidi.” Mikel Arteta.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Acha ujumbe