Wakati Ligi kuu ya NBC ikiendelea kutimua vumbi kwenye viwanja mbalimbali, mechi inayosubiriwa ni Simba ambaye amewafuata Mtibwa Sugar kiwanda cha mpira wa miguu Tanzania. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

simba

Ikumbukwe kwamba Simba SC msimu uliopita aliacha alama 3 muhimu kwenye ardhi ya walima miwa Morogoro, na kuwafanya kutoka kwenye mbio za kuwania ubingwa hali ambayo huenda ikajirudia tena kesho kwenye mchezo huo utakaopigwa majira ya saa 10:00 za jioni. Meridianbet wanakupa odds kubwa mechi hii, bashiri mubashara au kwenye duka la ubashiri lililo karibu yako.


Kikosi cha Simba kimetoka kucheza mchezo mgumu wa Ligi ya Mabingwa siku ya Jumanne dhidi ya Vipers hivyo wachezaji wamepumzika masaa 72 kabla ya mechi hiyo kwahiyo uchovu huenda isiwe kikwazo kwa Mnyama kuvuna alama 3 pale Manungu. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Lakini wakati Mnyama akifikiria kuzisaka pointi 3 hizo haitakuwa kirahisi sana ukizingatia Mtibwa na wao wamejipanga zaidi na wana rekodi ya kuisumbua sana Simba haswa wanapokuwa kwenye uwanja wao wa nyumbani. Hawa hawa Mtibwa ndio waliharibu rekodi ya Simba ya Unbeaten kwenye dimba la Mkapa mbele ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania Hayati John Magufuli.

Kitu kingine kitakachofanya mchezo huu kuwa mgumu zaidi ni aina ya uwanja na mchezo wa Simba unaofuatia wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Horoya ya Guinea, kwahiyo huenda akili za wachezaji wa Simba zikawa kwenye mchezo huo zaidi kuliko huu wa Ligi na ukizingatia sare ya bao 1-1 na Azam FC ni kama imefanya mazingira ya kupambania ubingwa kuwa magumu.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa