Hatimaye Kafunga| Weghorst Alia Hadharani Manchester

Hatimaye bhana mshambuliaji wa Manchester United Wout Weghorst alionekana kutokwa na machozi akishangilia bao lake la kwanza Old Trafford katika ushindi wao wa Ligi ya Europa dhidi ya Real Betis. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

weghorst

Weghorst, aliyesajiliwa kwa mkopo kutoka Burnley, alifunga bao la nne kwa United katika ushindi mnono wa 4-1 wa mkondo wa kwanza katika hatua ya 16 bora.

Kabla ya mechi hiyo, Weghorst alikuwa ameifungia klabu hiyo bao moja pekee katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Nottingham Forest kwenye Kombe la Carabao mnamo Januari 25. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Mholanzi huyo alionekana kukaribia kufunga mapema kwenye mechi hiyo, lakini hatimaye alipata bao hilo baada ya dakika 82 wakati shuti la Scott McTominay alipiga shuti lililopanguliwa na kumkuta Weghorst kwenye eneo zuri la kufunga.

Weghorst alikimbia hadi kwenye kona akishangilia na alionekana kuzidiwa na hisia kana kwamba anajaribu kuzuia machozi, wakati wachezaji wenzake waliofurahi walimkimbilia kumpongeza. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

 

weghorst

Baada ya mechi hiyo, Paul Scholes alisema kwamba Weghorst alionekana ‘kufurahishwa kidogo’ kabla ya kusema wazi ni kiasi gani bao hilo lilimaanisha kwa mshambuliaji huyo ambaye pia amekuwa akitupiwa lawama kutokana na kukosa mabao.

Scholes alisema; “Nadhani alifurahishwa kidogo na bao lake, nadhani amekuwa akisubiri hilo.

“Nadhani kila mtu kwenye klabu anafurahishwa naye. Wachezaji wanaomzunguka.”

Aliongeza: “Ungeweza kuona jinsi watu walivyokuwa na furaha kwake. Anafanya kazi nyingi ngumu, ambayo labda haionekani. Unaweza kuona wachezaji walio karibu naye wanamthamini.”

Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.