Marco Rose Akasirishwa na Wanaokosoa Uchezaji wa Haaland
Kocha mkuu wa RB Leipzig Marco Rose haelewi ukosoaji wa uchezaji wa Erling Haaland kwa Manchester City, akitania kuwa “Ikiwa humtaki, mleteni kwangu.” Leipzig itasafiri hadi Uwanja wa Etihad …
Jisajili Meridianbet, Weka na Ushinde Mgao wa Tsh 3M
Jisajili Meridianbet na Ushinde Mgao wa TZS 3,000,000 kwa 5,000 Hii ni nyingine tena kutoka kwetu spesho kwako mteja wetu unajisajili, ni Meridianbet wakali wa Odds kubwa na michezo ya …
Ten Hag Alalamikia Kadi ya Casemiro
Kiungo tishio kwa sasa pale Old Trafford Casemiro kwenye mchezo wa jana alioneshwa kadi nyekundu, kadi hiyo ilionekana kumkera zaidi kocha wa timu hiyo ambaye alitoa maoni yake. Odds kubwa …
BBC Yamruhusu Lineker Kutangaza Baada ya Kumsimamisha
Gary Lineker amerejeshwa kama mtangazaji wa mechi BBC baada ya kuomba radhi kutokana na ujumbe wake aliotuma kwenye Twitter kuhusu Serikali. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, …
Simba Hawako Tayari Kuishia Makundi
Afisa Habari wa Simba Ahmed Ally amezungumzia maandalizi ya kikosi cha Mnyama kuelekea mchezo wao muhimu dhidi ya Horoya, na kubainisha kuwa hawako tayari kuishia hatua ya makundi. Odds kubwa …
Ahmed Ally: Simba Tunacheza Mpira wa Malengo| Sisi Sio Wabovu
Afisa Habari wa Simba SC Ahmed Ally amesema kuwa wekundu wa Msimbazi wana Lunyasi wanacheza mpira wa malengo, kuelekea mechi yao ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Horoya. Odds kubwa …
Inter Milan Warudi Tena kwa Lindelof
Inter Milan wanatarajiwa kufufua nia yao ya kutaka kumnunua beki wa kati wa Manchester United, Victor Lindelof huku timu hiyo ya Serie A ikijiandaa kufanyia marekebisho safu yake ya ulinzi …
Simba ya 9 kwa Ubora CAF| Yanga Yangapi?
Linapokuja suala la ubora wa vilabu Simba SC mara nyingi hufanya vizuri sana, na sasa Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS) limetoa orodha ya vilabu bora …
Simba ni Moto| Baleke Akimbizwa na Musonda
Unaposema kiwanda cha mabao kwenye Ligi kuu ya NBC basi pale kwa wekundu wa Msimbazi Simba, kuna kiwanda kikubwa sana cha mabao ikiwa mpaka sasa wamefunga jumla ya mabao 58. …
Milan na Inter Wanamtaka Balogun Ambaye ni Mchezaji wa Mkopo wa Arsenal
Soko la usajili la Derby della Madonnina linakaribia kwa kasi kwani Milan na Inter wana nia ya kutaka kumnunua Folarin Balogun wa Arsenal ambaye anang’ara nchini Ufaransa akiwa na Stade …

