Unaposema kiwanda cha mabao kwenye Ligi kuu ya NBC basi pale kwa wekundu wa Msimbazi Simba, kuna kiwanda kikubwa sana cha mabao ikiwa mpaka sasa wamefunga jumla ya mabao 58. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Baada ya jana mshambuliaji wao mpya Jean Baleke kufunga hat trik dhidi ya Mtibwa, amefikisha jumla ya mabao 5 kwenye mechi tano za ligi kuu na kuwa na uwiano mzuri wa kufunga karibia kila mechi.
Usajili huo wa mwezi Januari umeanza kulipa tangu kuingia kwake Msimbazi, lakini mshambuliaji mwenzake wa Yanga Kennedy Musonda amefunga bao moja tu kwenye Ligi mchezo wa jana dhidi ya Geita Gold. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Lakini pia rekodi nyingine waliyoiandika Simba ni kuwa timu ya pekee kwenye Ligi msimu huu wa 2022/23, kuwa na Hat Trik 3 za wachezaji watatu, ambapo Mosses Phiri alifunga mabao 3, John Bocco na Jean Baleke. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.