Linapokuja suala la ubora wa vilabu Simba SC mara nyingi hufanya vizuri sana, na sasa Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS) limetoa orodha ya vilabu bora vya CAF kwa mwezi Machi (Feb 28-Machi 1). Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

simba

Vilabu kumi bora barani Afrika vinaongozwa na Al ahly yenye pointi 202 huku Simba inashika nafasi ya 9 na pointi 113, watani zao Simba wapo nafasi ya 17 wakiwa na pointi 92. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

1. Ahly – 220 pointi
2. Wydad – 170 pointi
3. Zamalek – 154 pointi
4. Pyramids- 140.5 pointi
5. Al Hilal – 132.75 pointi
6. Mamelodi- 127 pointi
7. CR Belouzidad – 117.75 pointi
8. Raja Casablanca – 117 pointi
9. Simba SC – 113 pointi
10. Petro Luanda – 112 pointi
11. Future FC- 108 Pointi (Egypt)
12. Esperance ST-108 pointi (Tunisia)
13. Al Merreikh- 102 Pointi
14. RSB Berkane- 100.5 Pointi
15. FAR Rabat-Pointi 100
16. ES Setif- 93 Pointi
17. Yanga SC- 92 Pointi
18. USM Alger-83 Pointi
19. JS Saoura-80 Pointi
20. Al Masry-78 Pointi.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa