Inter Milan wanatarajiwa kufufua nia yao ya kutaka kumnunua beki wa kati wa Manchester United, Victor Lindelof huku timu hiyo ya Serie A ikijiandaa kufanyia marekebisho safu yake ya ulinzi msimu huu. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

lindelof

Inter walikuwa wametoa ofa ya mkopo kwa United mwezi Januari kwa ajili ya Lindelof, lakini pendekezo hilo lilikataliwa.

Mashetani Wekundu walikataa ofa hiyo huku kocha wao Erik ten Hag akitanguliza akiandaa kikosi chake kupambana na kuwania nafasi ya nne kwenye Ligi. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Kwa mujibu wa The Sun, Inter itatoa ofa nyingine kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Uswizi katika dirisha la usajili la majira ya kiangazi, huku ofa ya takriban paundi milioni 31 ikitarajiwa kuwa ya kutosha kukamilisha dili hilo.

Nia ya awali ya Inter ilikuja na Milan Skriniar baada ya kukubali kujiunga na Paris Saint-Germain. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Skriniar anatazamiwa kujiunga na mabingwa hao watetezi wa Ufaransa mwishoni mwa msimu huu mkataba wake wa Inter utakapomalizika.

Stefan de Vrij pia anaweza kuondoka katika klabu hiyo majira ya joto, huku mkataba wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Uholanzi ukikamilika.

Lindelof ameichezea United mechi 20 msimu huu, zikiwemo tisa za Ligi kuu ya Uingereza. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa