Hawa Hapa Vinara wa Assist Ligi kuu ya NBC

Baada ya kila timu ya Ligi kuu ya NBC kucheza michezo yao 20, hawa hapa ndio vinara wa assist mpaka sasa huku namba moja ikishikiliwa na kiungo wa Simba Cloutus Chota Chama mwenye assist zake 12.

 

Hawa Hapa Vinara wa Assist Ligi kuu ya NBC

Nafasi ya pili inashikiliwa na Saido Ntibanzokiza ambaye ni usajili mpya wa Simba ambaye katoka Geita Gold akiwa na assist zake 8 na anaendelea kuonyesha kiwango kizurihuku mechi mbili alizocheza ametupia mabao matano.

Kinara mwingine wa pasi za mwisho ni Ayoub Lyanga wa Azam ambaye amefikisha oasi hizo za mwisho 7 hadi sasa huku timu yake ikishikilia nafasi ya tatu kweny msimamo baada ya kushinda mechi iliyopita.

Hawa Hapa Vinara wa Assist Ligi kuu ya NBC

Nafasi ya nne imebebwa na Sixtus Sabilo anayekipiga Mbeya City ambao walitoka kupoteza mechi yao iliyopita dhidi ya Mnyama huku mshambuliaji huyo akitokea benchi kwenye mchezo huo.

Na tano bora wa pasi za mwisho inashikiliwa na wachezaji wawili wa Simba ambao ni beki Mohamed Hussein na Kiungo Mzamiru Yassin wenye pasi za mwisho tano kwenye ligi huku wote wakiwa na viwango bora.

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.