Martin Odegaard vs De Bryune Nani Bora?
Daily News

Martine Odegaard na Kelvin De Bryune ni viungo hatari ambao kila mmoja ana mchango kwenye timu yake, rekodi zimabeba kila mmoja lakini kwa msimu huu pekee hizi ndio rekodi zao. …

Soma zaidi
Rekodi za Liverpool vs Real Madrid H2H | Madrid Anaongoza
Daily News

Ukisema Liverpool ni vibonde wa Real Madrid utakua uko sahihi, kutokana na sababu halisi za kitwakwimu kwani baada ya mchezo wa jana wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) kumalizika kwa …

Soma zaidi
Ancelotti: Kroos na Modric Hawachezi kwasababu ya Majina bali ni Uwezo
Champions League

Kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti amesema kua viungo wake wawili wakongwe Luca Modric na Toni Kroos hawachezi ndani ya klabu hiyo kwasababu ya majina yao lakini inatokana …

Soma zaidi
Spalletti Adai Kuwa Ubora wa Napoli wa 2023 ni Zaidi ya Ule wa Maradona
Champions League

Luciano Spalletti anaamini kuwa timu ya sasa ya Napoli ni ya kiwango kikubwa cha pamoja kuliko timu za Partenopei ambazo Diego Maradona aliongoza kutwaa mataji mawili ya Serie A.   …

Soma zaidi
Allegri: “Di Maria na Chiesa Hatiani Kuikiosa Freiburg”
Europa League

Kocha mkuu wa Juventus, Massimiliano Allegri amesema kuwa Angel Di Maria na Federico Chiesa wamesalia kwenye kinyang’anyiro cha kucheza mechi ya mkondo wa pili wa hatua ya 16 bora ya …

Soma zaidi
Osimhen Anaamini Ndoto ya Napoli ni Ligi ya Mabingwa
Champions League

Victor Osimhen anaamini kuwa Napoli wako wa kutosha kushinda Ligi ya Mabingwa baada ya kufika robo fainali ya michuano hiyo kwa mara ya kwanza kwa ushindi mnono dhidi ya Eintracht …

Soma zaidi
Ancelotti Amwita Vinicius Kuwa ni Mchezaji Bora Zaidi Duniani
Champions League

Kocha mkuu wa Real Madrid Carlo Ancelotti amedai Vinicius Junior ndiye mchezaji bora zaidi duniani baada ya kuisaidia Los Blancos kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya katika ushindi …

Soma zaidi
Carragher Aiambia Liverpool Wasajili Beki Mwingine wa Kulia
Champions League

Jamie Carragher ameitaka timu yake ya zamani ya Liverpool kusajili beki mwingine wa kulia baada ya Trent Alexander-Arnold kuwa na kiwango kisichoridhisha huku akiitumikia klabu hiyo kwa muda sasa.   …

Soma zaidi
Conte Kurejea Inter Milan
Daily News

Taarifa zinaeleza kua kocha wa klabu ya Tottenham Hotspurs raia wa kimataifa wa Italia Antonio Conte anajipanga kurejea ndani ya klabu ya Inter Milan ambapo aliondoka kabla ya kujiunga na …

Soma zaidi
Lukaku anatarajiwa Kurejea Chelsea
Serie A

Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea anayekipiga kwa mkpo klabu ya Inter Milan Romelu Lukaku anatarajiwa kurejea ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu baada ya mkataba wake wa mkpo …

Soma zaidi
1 2 3 563 564 565 566 567 568 569 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.