Martine Odegaard na Kelvin De Bryune ni viungo hatari ambao kila mmoja ana mchango kwenye timu yake, rekodi zimabeba kila mmoja lakini kwa msimu huu pekee hizi ndio rekodi zao. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Jumla ya michezo: De Bryuyne =25, Odegaard amecheza 25
Magoli: KDB 4, Odegaard 10
Pasi za magoli: KDB 12, Odegaard 6
Nafasi walizo tengeneza: KDB 78, Odegaard 61
Kufanikwa kutembea na mpira (Dribbles) KDB 29, Odegaard 37
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Kwa takwimu hizi nani anastahili kuwa kiungo bora? Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

