Rekodi za Liverpool vs Real Madrid H2H | Madrid Anaongoza

Ukisema Liverpool ni vibonde wa Real Madrid utakua uko sahihi, kutokana na sababu halisi za kitwakwimu kwani baada ya mchezo wa jana wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) kumalizika kwa majogoo kulala 0-1. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

liverpool

Bao hilo lilifungwa na Nahodha wa Real Madrid Karim Benzema na kufanya matokeo ya jumla kuwa 8-2, kipigo cha nje ndani ambacho kinaweka rekodi ya mabao mengi zaidi. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Lakini je rekodi  kati ya Real Madrid vs Liverpool H2H 

Wamekutana mara 10
Liverpool kushinda=3
Real Madrid =6
Sare =1

Jumla ya mabao kufungwa kwa kila timu =27⚽, Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Real Madrid=17
Liverpool = 10

Wafungaji wa Muda wote⚽

Cristiano Ronaldo= 105
Mohamed Salah = 42

 

liverpool-salah

Mataji ya UCL🏆
Madrid 14, Liver 6

Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

Acha ujumbe