Napoli vs Ac Milan Vita ya Ndugu
Klabu ya Napoli na Ac Milan watakutana katika hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya baada ya droo kuchezeshwa leo na kuwakutanisha miamba hiyo kutoka nchini Italia katika …
Frenkie de Jong Aendelea Kusisitiza Bado yupo sana Barca
Kiungo wa klabu ya Fc Barcelona na timu ya taifa ya Uholanzi Frenkie de Jong ameendelea kusisitiza kua mipango yake ni kubaki ndani ya klabu ya Barcelona kwa muda mrefu …
Nagelsmann: Itakua Ngumu Kumzuia Haaland Kuliko Mbappe
Kocha wa klabu ya Bayern Munich Julian Nagelsman amesema kua kumzuia mshambuliaji wa klabu ya Manchester City Earling Haaland katika mchezo wao wa robo fainali itakua ngumu kuliko ilivyokua kwa …
Manchester United Yawapa Kichaa Waarabu
Klabu ya Manchester United inaonekana kuwapa kichaa waarabu wa Qatar kwani taarifa zinaeleza kua Sheikh Jassim Bin Hamad Emir El Thani anataka kulipa zaidi ili aweze kuinunua klabu hiyo. Sheikh …
Crystal Palace Yamtimua Patrick Vieira
Klabu ya Crystal Palace imethibitisha kuwa wamemfuta kazi kocha wao mkuu Patrick Vieira baada ya kuifundisha kwa miezi 18. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, …
Sakho Aitwa Senegal kwa Mara ya Kwanza
Mshambuliaji wa klabu ya Simba Pape Ousmane Sakho ameitwa kwenye kikosi cha Senegel chini ya kocha Alliou Cisse ambacho kitacheza michezo miwili ya kufuzu michuano ya kombe la mataifa ya …
Droo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Kuchezeshwa Leo
Droo ya ligi ya mabingwa ulaya kuchezeshwa leo kwa timu ambazo zimefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano hiyo ambazo ni Real Madrid, Manchester City, Bayern Munich, Chelsea, Napoli, …
Odegaard Ameitaka Arsenal Kurejea Wakiwa na Nguvu Zaidi Baada ya Kuondoka kwenye Ligi ya Europa
Martin Odegaard ameitaka Arsenal kurejea kwa nguvu zaidi baada ya kuondolewa kwenye Ligi ya Europa mikononi mwa Sporting CP. Mkwaju wa penalti alioukosa Gabriel Martinelli katika mikwaju hiyo ulipelekea …
Burna Boy Kutumbuiza Fainali za UEFA 2022/23 Instanbul
Burna Boy baada ya kufanya shoo kali kwenye dakika za mapumziko za NBA All-Star 2023 sasa kutumbuiza kwenye UCL. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni. …
Ten Hag Aipongeza United kwa Kazi Nzuri Ambayo Wameifanya Jana
Kocha mkuu wa Manchester United, Erik ten Hag ameusifu uimara wa kikosi cha United baada ya kushinda 1-0 ugenini dhidi ya Real Betis na akatania kwamba alifurahi kwamba hakuna mchezaji …

