Afisa Habari wa Simba Ahmed Ally amezungumzia maandalizi ya kikosi cha Mnyama kuelekea mchezo wao muhimu dhidi ya Horoya, na kubainisha kuwa hawako tayari kuishia hatua ya makundi. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

Simba

Aliyasema hayo mapema hii leo alipokuwa akizungumza na wanahabari, kuelekea mchezo huo siku ya Jumamosi Machi 18.

“Kila Mwanasimba lazima atambue kwamba tutaingia Uwanja wa Mkapa kwenda kupambana kuingia Robo Fainali. Hatuko tayari kuishia hatua ya makundi na wakati mechi ya kutupeleka robo tutachezea Uwanja wa Mkapa.”

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Simba wamekuwa na rekodi za kuvuitia zaidi kwenye mashindano hayo ya Ligi ya Mabingwa, kwa kwa misimu mitano nyuma wamefanikiwa kufuzu hataua ya robo fainali mara mbili, na kombe la shirikisho mara moja. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa