El-Shenawy: Al-ahly Tumeonewa

Nahodha wa Al-ahly El-Shenawy Alalamikia Kucheza Mchana, Mamelod Yaendeleza Ubabe. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

al-ahly

The Giants of Africans Football Club “Miamba kabisa ya Afrika” Mabingwa mara nyingi wa Ligi ya Mabingwa Al-ahly huenda wakajikuta wanaishia kwenye hatua ya makundi baada ya kupokea kipigo kikubwa cha mabao 5-2 huko Afrika Kusini.

Baada ya mechi hiyo Nahodha wa Al-ahly Mohamed el-Shenawy alitoa malalamiko kwamba sababu ya wao kufungwa bao nyingi ni mechi yao kuchezwa mchana saa9. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

“Haijawahi kutokea, kwa dunia ya sasa kucheza mechi mchana wa saa9 lakini leo (Jumamosi) hapa dhidi ya Mamelod tumecheza saa9”

Kwa sasa ukiangalia msimamo wa kundi hilo ni gumu kwa upande wa Al-ahly, kwani mpaka sasa ana pointi 4 na amebakiza michezo 2. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Kundi lao linavyoonekana.

Mamelod Sundown [10]
Al Hilal SC [9]
Al Ahly SC [4]
Cotton Sport [0]

Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.