Kiungo mshambuliaji wa Simba SC Clatous Chama amekuwa shujaa kwa muda mrefu sana tangu ajiunge na mnyama msimu wa 2017 mpaka hivi, amefanya yasiyowezekana yakawezekana mbele ya mashabiki katika dimba la Mkapa. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

chama

Kuelekea mchezo wao muhimu wa hatua ya makundi kesho dhidi ya Horoya, Chama amebainisha nia yake kama mchezaji kwenye mchezo huo na kusema atajitoa kuipambania Simba ipate matokeo. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

“Jambo muhimu tunalotakiwa kujua ni mchezo ni muhimu kwetu na mimi kama mchezaji sina maneno mengi ya kusema sababu nadhani ninachotakiwa kusema ni kuonyesha ninachoweza kufanya kwenye mchezo.”- Clatous Chama.

Aidha Chama wenyewe hupenda kumuita Mwamba wa Lusaka aligusia mechi zao zilizopita na hali ilivyokuwa huku akiwataka wachezaji wenzake kuungana pamoja kuipa timu ushindi, na mashabiki wajitokeze kwa wingi siku ya Jumamosi. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

“umesema ukweli na wote tulishuhudia kipindi hicho dhidi ya AS Vita na mechi zilizopita, kwenye mechi hii nadhani nachopaswa kukifanya ni kuungana na wachezaji wenzangu, tupeane nafasi tupate matokeo ili tuwape furaha mashabiki zetu”

Endapo Simba atafanikiwa kumfunga Horoya na kuondoka na pointi 3, basi atajihakikishia nafasi ya kusonga mbele hatua ya robo fainali ya mashindano hayo makubwa barani Afrika. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa